Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,326
Nina wasiwasi atakua na vinasaba vya Tanzania, maana hilo jina KAMBWALA.Kambwala [emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa akiwa first 11 akawa anachomesha tutataniwa sana
Nina wasiwasi atakua na vinasaba vya Tanzania, maana hilo jina KAMBWALA.Kambwala [emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa akiwa first 11 akawa anachomesha tutataniwa sana
Rashid na Gernacho wakiacha uchoyo na ubinafsi labda wanaweza kufanya jambo.Ni vile ETH ni mtu wa Rotation hatabiriki ila hii Combo ya Rash+Garnacho+Houjlund ni hatati sana kama angetulia nayo akaifua vizuri watakichafua sana
Sijui kwenye comment zangu ni wapi umeona nimesema tunahitaji zaidi ya bruno?Embu ntajie uyo namba 10 ambaye ni ball dancer na chance creator anaemzidi Bruno sasa PL??
Ttaizo kwenye hiyo combo ni kiwango cha Rashford kutokutabirika. Kwa mara ya kwanza nimeona jamaa akicheza kitimu zaidi pamoja na kwamba bado alikuwa na umimi fulani baadhi ya nyakati.Ni vile ETH ni mtu wa Rotation hatabiriki ila hii Combo ya Rash+Garnacho+Houjlund ni hatati sana kama angetulia nayo akaifua vizuri watakichafua sana
Ttaizo kwenye hiyo combo ni kiwango cha Rashford kutokutabirika. Kwa mara ya kwanza nimeona jamaa akicheza kitimu zaidi pamoja na kwamba bado alikuwa na umimi fulani baadhi ya nyakati.
Tell us more mkuu.Lucien Agoumé
Hatujui sir Jim atakujajeKwa sasa jukwaa la Arsenal na Liverpool kila wakifungwa au kutoa droo wanakimbilia kumlaumu kocha na kutamani kuongeza mchezaji kwenye kikosi chao, ila hali ni tofauti kwa United. Tuko kimya sana kwenye masuala ya usajili wa dirisha dogo utadhani tunaongoza ligi sisi.
Ila 10Hag ni TACTICIAN mzuri kuliko arteta.
Mbona unakua muongo muongo sana mkuu🤠🤠...hii tabia nani kakufundishaKwa sasa jukwaa la Arsenal na Liverpool kila wakifungwa au kutoa droo wanakimbilia kumlaumu kocha na kutamani kuongeza mchezaji kwenye kikosi chao, ila hali ni tofauti kwa United. Tuko kimya sana kwenye masuala ya usajili wa dirisha dogo utadhani tunaongoza ligi sisi.
Ila 10Hag ni TACTICIAN mzuri kuliko arteta.
Hapo umeandikiwa au umeandika mwenyeweKwa sasa jukwaa la Arsenal na Liverpool kila wakifungwa au kutoa droo wanakimbilia kumlaumu kocha na kutamani kuongeza mchezaji kwenye kikosi chao, ila hali ni tofauti kwa United. Tuko kimya sana kwenye masuala ya usajili wa dirisha dogo utadhani tunaongoza ligi sisi.
Ila 10Hag ni TACTICIAN mzuri kuliko arteta.
Umeongea kwa akili kubwa sana mkuu kacnia Bruno ni tatizo kubwa kwa sasa. Nikikumbuka zile faulo mbili za hovyo alifanya kwenye uefa na zote zikazaa magoli tukaondolewa na juzi kwa Aston Villa kafamyavtena faulo wakapata goli la kwanza. Huyo mtoto wa miaka 19 anacheza dakika 80 na hasababishi faulo yoyote.%Timu ilikaba vizuri mno
%Kiungo kilitulizwa na mtoto wa miaka 19 na mzee wa mapigo ya moyo ericksen. Bruno kazi kulalama tuu (tunahitaji no 10 mzuri aje ampe changamoto)
%beki ilitulia kwa sababu wachezaji wote walikaba njia na ku track back mipira bila kutegea, hence pressure ikawa ndogo kwa beki zetu nzee.
%wote tumeona kama tuna winger zenye power na aggression basi wapinzani hawataleta timu uwanjani, bahati mbaya winger zetu zinapata hizo character kila baada ya mechi 10(sad truth)
Tukiendelea hivi na ericksen akiwa fit kipindi tunatafuta sokoni midfield yenye passing ability na kusoma mchezo effectively, top four coming soon.
Mengine ntaenda kujadili kwenye kijiwe cha kahawa