Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,248
- 4,671
Daah inaumiza mnoNikuhakikishie Upara anamaliza msimu bila kufukuzwa na mtu yoyote LABDA ajiuzulu AU Sir Jim amkatae
Timu za EPL ngumu sana kufanya maamuzi ya kufukuza kocha Sio NBC PL ile hata vila wakishinda 7-0 ETH hafukuzwi na mtuu