verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,143
- 6,246
Sarcasm iyoUmemjibu kinafki au ndio akili yako kabisa?
Sarcasm iyoUmemjibu kinafki au ndio akili yako kabisa?
Bado hamjasemaKaveh Solekhol
"Apparently Ten Hag has lost the faith of around 50% of the dressing room with many of the players complaining they "do too much running" during training and "don't understand what they're running for".
Amongst other complaints were the fact Ten Hag is too set in his ways and many of the players think that the Sancho situation has gone on far beyond what is reasonable."

Sasa subiri leo tuwabomoe ninyi Manundu FC goli za kutosha ,mtaukimbia huu uzi wenu na hamtaleta pua zenu tena humu , huu uzi tunautekaChelsea ikiwa na msimu mbaya uwezi kuona watu wakienda kuchangia kule jukwaa lina baki kimya.
Liverpool ikiwa na msimu mbaya uwezi kuona watu wakienda kuchangia kule.
Arsenal imepitia misimu mibaya lakini jukwaa lao lilikosa wachangiaji kabisa.
lakini ni tofauti na man u hata tuwe na misimu mibaya kaisi gani uji kuona jukwaa letu limekosa wachangiaji.
Unajua ni kwanini sababu ili timu yoyote ipate attention lazima ijibishane na man u tu.
pasipo man u ligi ya EPL inaweza kufa pamoja na man u kufanya vibaya toka Ferguson aondoke ili jukwaa alijawai kupoa sababu man u ni nembo ya soka kwa England na dunia nzima.
GGMUView attachment 2833546
Man Utd wamemkataza kuingia kwenye press conference ya kabla ya mechi na ChelseaBan gani? 😂
Yaani hadi msemeMAJOR BREAKING:
Erik ten Hag has LOST 50% of the Manchester United dressing room.
@SkyKaveh
HajathemaKaveh Solekhol
"Apparently Ten Hag has lost the faith of around 50% of the dressing room with many of the players complaining they "do too much running" during training and "don't understand what they're running for".
Amongst other complaints were the fact Ten Hag is too set in his ways and many of the players think that the Sancho situation has gone on far beyond what is reasonable."

we jamaa ndo umekimbia mazimaZidane alisema anasubiri ofa kutoka timu inayotaka kushinda na yenye uwezo wa kushinda.
Ukiitazama Nyumbu FC vizuri unaona ni timu yenye watu na mazingira ya kuwezesha hilo?

Akili yako ndio imeishia hapa! bwaiseekwetuHujui Mpira wewe NYUMBU
"the club's Pele" 😂😂😂😂😂😂Mourinho opened the door for Martial to leave when he wanted out in summer 2018 and had high resale value. Anthony Martial will not be sold this summer as Joel Glazer sees him as the club’s ‘Pele’.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2833711
Hutaamini macho yako wew kenge.Na leo tunawagonga palepale kwenye mshono NYUMBU ninyi
Sawa tusubiri tuone,NYUMBU mnavurugana dressing room sisi tunagonga kwenye mshono UwanjaniHutaamini macho yako wew kenge.
Sisi ni hatueleweki FC
Hata mi naonaYani mabingwa haswa