Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Spurs anaenda na City jino kwa jino hadi dakika ya mwisho na wanatoshana nguvu.
Kwenye hii game Spurs wana watu technical kuliko man Utd, wana watu wana work rate kubwa kuliko united na wana cheza kitimu zaidi kuliko united ya Ten Hag.
Zaidi zaidi Spurs wanacheza kwa ajili ya timu wakati United wanacheza kupata sifa binafsi.
 
Manjesta haijashinda mechi yoyote ya EPL ugenini dhidi ya timu iliyoanza siku ikiwa katika nafasi ya 8 katika msimamo tangu Oktoba 2021 ilipoifunga Tottenham chini ya Ole Gunnar Solskjaer.

Tangu wakati huo, United imetoa sare tatu na kupoteza mechi 10 kati ya 13 za aina hiyo.
 
Yes Sisi tunaijua hali yetu mbaya uwe unatupa na wewe form yenu na achievements mlizo pata
 
Huyu kocha Ni Tapeli

7Hag kuhusu game ya Newcastle

“Hii team ni stahimilivu, tuna mipango na tunaendelea kusonga mbele”.

Nitaongea na team yangu lakini tulikuwa mchezoni, mwishowe tulitengeneza nafasi nzuri”.

Tulifunga goli lakini lilikuwa ni offside, kwa hiyo ingeliweza kuwa ni matokeo ya sare”. aliiambia TNT.
 
Na we haukuonekana umesahau
ila jana ndo ukajitokeza
Sikuonekana wapi, fatilia humu ,nilisema mnashinda kwa kubahatisha tu

Sijawahi kuwa na mashaka na ETH najua ni mbahatishaji tu, Mimi Ni moja ya watu wa mwanzo kabisa kuwaambia ETH ni Tapeli

Nilipingwa Sana humu ,
 
Anaifukuzia record ya Weghorst

EPL

Match 10
Assist 0
Goals 0

Weghorst anashikilia record ya mechi 17
Goals 0
Assist 1

Bull Striker
20231203_011109.jpg
 
Huyu kocha Ni Tapeli

7Hag kuhusu game ya Newcastle

“Hii team ni stahimilivu, tuna mipango na tunaendelea kusonga mbele”.

Nitaongea na team yangu lakini tulikuwa mchezoni, mwishowe tulitengeneza nafasi nzuri”.

Tulifunga goli lakini lilikuwa ni offside, kwa hiyo ingeliweza kuwa ni matokeo ya sare”. aliiambia TNT.
Nilipokuwa unyumbuni nilishindwa kabisa kuona jinsi gani EtH ni tapeli. Kocha hana mbinu, timu haieleweki inatafuta nini uwanjani.

Ni kweli wachezaji wengi uwezo mdogo ila kocha wao ndiyo kiazi kabisa.

EtH hafiki Christmas hapo Carrington. Hawa wachezaji watamfukuzisha kazi, juzi Rashford anatembea uwanjani. Kipigo cha Bayern na Liverpool back-to-back hakitavumilika na maboss wake.

Chelsea
Bournemouth
Bayern
Liverpool

Kipara ndezi hatoboi!
 
Humu kuna habari gani?

Yule mmoroko wa wedi kapu hamumtaki tena? Si mlisema akija ata-partner na Casemiro hapo itakua ushindi 'mfululu'
20230314_090741.jpg
 
Back
Top Bottom