Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Oya wakali wa Soka safi ninaowakubali sana wapigeni wale Chelsea mumfukuzishe Kocha wao kwanza wanajisifu wanasema watakupigeni nyingi
Leteni website ya kuangalia live.
Na kakosa penati juuNi wakati sasa wa BRUNO kupumzishwa kwenye 1st eleven kama alivyopumzishwa MAGUIRE mpaka akapandisha kiwango. Ile mechi ya UEFA iliniuma sana alivyofanya faulo mbili za kijinga karibu na goli na zote zikazaa magoli.
chelseeeee ni mibovu inakosa magori ya wazi tu ila huyu mkimbizi wa ukraine ni takataka kabisaTunavimbiwa mpaka na Chelchit
ajabu had onana anafanya save kwenye mipira ambayo kila siku wanamdobekaLeo angalau tunacheza
Huo mkeka umechanika muda mrefu. Pole sana mkuu.Leo ni siku ya burudani kubwa vikosi vya mabwanyenye wawili vinakutana hapa, kati ya bwanyenye glazer na bwanyenye tody ni raha tupu wakubwa [emoji16][emoji16]
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
my prediction
Manchester United 3 vs Chelsea 1
GGMU[emoji3590]
vikosi vya mabwanyenye hivi hapa.View attachment 2835053
Nimependa pressing ya leoIngawa ninaangalia kwa kuchungulia at least leo tunapiga walau pasi zinaenda,pressing inafanya kazi, ila finishing ndio tatizo lililoshindikana