Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo ni siku ya burudani kubwa vikosi vya mabwanyenye wawili vinakutana hapa, kati ya bwanyenye glazer na bwanyenye tody ni raha tupu wakubwa

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha

my prediction

Manchester United 3 vs Chelsea 1

GGMU

vikosi vya mabwanyenye hivi hapa.View attachment 2835053
Huo mkeka umechanika muda mrefu. Pole sana mkuu.
the blues
 
Ingawa tumepata points 3 ila Man Utd tuna shida sana ya kutumia nafasi za wazi tunazopata ndio maana mpaka leo bado tuna GD 0, kwa nafasi tulizopata Chelsea alikua anakufa sio chini ya goli 4.
Japo tumeshinda ila mpaka kipenga cha mwisho kinapulizwa mashabiki tulikuwa roho mkononi.
 
Timu yetu bado asee. Leo tulikuwa tunashinda nyingi. Kule mbele bado sana.
 
Timu yetu bado asee. Leo tulikuwa tunashinda nyingi. Kule mbele bado sana.
ETH ni genius.
Akipata right signing (wachezaji bora) kweny backline, mid na forwards jamaa atatisha.
Ngonja hiyo 50% ya wachezaji tuitoe kwanza.
ETH kwa sasa ndio tunapaswa tusapoti juhudi zake ana vita kubwa dhidi ya media, wachezaji uchwara, na tajiri mbovu
GGMU
 
Sijui ni lini lakini nahofia siku tutakayocheza Villa Park nahisi litatukuta jambo huyu Unai ni balaa

Kwa Backline yenu ilivyo nyeupe Aisee game ya Villa itakua balaa wale watoto wanatembeza boli sio la dunia hii msimu huu
 
Ingawa ninaangalia kwa kuchungulia at least leo tunapiga walau pasi zinaenda,pressing inafanya kazi, ila finishing ndio tatizo lililoshindikana
Hahahaa usiogope Jombaa tutakaa sawa tu. Sijawahi kushuhudia kocha anafanya kazi ktk mazingira yenye vita nyingi sana kuanzia waandishi wa habari, baadhi ya wachezaji na mashabiki wa timu pinzani na ndani kama Ten Hag.
 
Back
Top Bottom