Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manjesta haijashinda mechi yoyote ya EPL ugenini dhidi ya timu iliyoanza siku ikiwa katika nafasi ya 8 katika msimamo tangu Oktoba 2021 ilipoifunga Tottenham chini ya Ole Gunnar Solskjaer.

Tangu wakati huo, United imetoa sare tatu na kupoteza mechi 10 kati ya 13 za aina hiyo.
 
Yes Sisi tunaijua hali yetu mbaya uwe unatupa na wewe form yenu na achievements mlizo pata
 
Huyu kocha Ni Tapeli

7Hag kuhusu game ya Newcastle

“Hii team ni stahimilivu, tuna mipango na tunaendelea kusonga mbele”.

Nitaongea na team yangu lakini tulikuwa mchezoni, mwishowe tulitengeneza nafasi nzuri”.

Tulifunga goli lakini lilikuwa ni offside, kwa hiyo ingeliweza kuwa ni matokeo ya sare”. aliiambia TNT.
 
Na we haukuonekana umesahau
ila jana ndo ukajitokeza
Sikuonekana wapi, fatilia humu ,nilisema mnashinda kwa kubahatisha tu

Sijawahi kuwa na mashaka na ETH najua ni mbahatishaji tu, Mimi Ni moja ya watu wa mwanzo kabisa kuwaambia ETH ni Tapeli

Nilipingwa Sana humu ,
 
Anaifukuzia record ya Weghorst

EPL

Match 10
Assist 0
Goals 0

Weghorst anashikilia record ya mechi 17
Goals 0
Assist 1

Bull Striker
20231203_011109.jpg
 
Huyu kocha Ni Tapeli

7Hag kuhusu game ya Newcastle

“Hii team ni stahimilivu, tuna mipango na tunaendelea kusonga mbele”.

Nitaongea na team yangu lakini tulikuwa mchezoni, mwishowe tulitengeneza nafasi nzuri”.

Tulifunga goli lakini lilikuwa ni offside, kwa hiyo ingeliweza kuwa ni matokeo ya sare”. aliiambia TNT.
Nilipokuwa unyumbuni nilishindwa kabisa kuona jinsi gani EtH ni tapeli. Kocha hana mbinu, timu haieleweki inatafuta nini uwanjani.

Ni kweli wachezaji wengi uwezo mdogo ila kocha wao ndiyo kiazi kabisa.

EtH hafiki Christmas hapo Carrington. Hawa wachezaji watamfukuzisha kazi, juzi Rashford anatembea uwanjani. Kipigo cha Bayern na Liverpool back-to-back hakitavumilika na maboss wake.

Chelsea
Bournemouth
Bayern
Liverpool

Kipara ndezi hatoboi!
 
Humu kuna habari gani?

Yule mmoroko wa wedi kapu hamumtaki tena? Si mlisema akija ata-partner na Casemiro hapo itakua ushindi 'mfululu'
20230314_090741.jpg
 
Striker la UEFA CHAMPIONS LEAGUE, Rasmus Højlund

View attachment 2832199View attachment 2832200
Inabidi uwe na akili kubwa kujua Rasmus anafanya nini uwanjani. Kwangu hata asipofunga sioni shida. Kikubwa anachofanya ni kuzuia timu isianzie mashambulizi nyuma (hii ni hatari) Muda aliokuwepo Masho kule nyuma walijiachia wanavyotaka kuanzisha na kupandisha mipira mbele. Rasmus anambana kipa hawezi kuanzisha mpira hovyo hovyo hali inayopelekea apige tu mbele ambapo mpira unaweza kudondokea kwa adui. Nakumbuka kocha wangu alikuwa anatuambia "Tushambulie zaidi ili kujilinda nyuma" ndivyo anavyofanya Rasmus.
 
Kwamaana nyingine ana mikabo mizuri🤠🤠...mmemtoa mwnye mikimbio mizuri Mr Werghost mmemleta mwny mikabo mizuri
 
Inabidi uwe na akili kubwa kujua Rasmus anafanya nini uwanjani. Kwangu hata asipofunga sioni shida. Kikubwa anachofanya ni kuzuia timu isianzie mashambulizi nyuma (hii ni hatari) Muda aliokuwepo Masho kule nyuma walijiachia wanavyotaka kuanzisha na kupandisha mipira mbele. Rasmus anambana kipa hawezi kuanzisha mpira hovyo hovyo hali inayopelekea apige tu mbele ambapo mpira unaweza kudondokea kwa adui. Nakumbuka kocha wangu alikuwa anatuambia "Tushambulie zaidi ili kujilinda nyuma" ndivyo anavyofanya Rasmus.
Hujui Mpira wewe NYUMBU
 
Back
Top Bottom