Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni kama tulikua pungufu tu jana rashford alikua ball boy huku martial akiwa kibendela
Eti rashford ana potential kubwa we all saw him last season
Umri wake bado ni mdogo.Ndo kwaanzaa Chidi ana miaka 20. Bado ana potential kubwa, mengi ya kujifunza pia.Mpeni nafasi, acheni pupa.

Kuhusu (7+3)HAG, huyu aaongezewe mkataba mapema kabla Real Madrid, Bayern na PSG hawajambeba.

Mimi nawakumbusha kuwa mnatakiwa kuwapa Monaco £ 7.2 millions kama ads on, endapo Martial atashinda ballon d'Or
 
Ahaaaa huwa nikikumbuka comments za Ronaldo na Mourinho, naamini Nyumbu wana miaka 20 kurudi angalau kugombea ubingwa...

Sioni wakiwa na Project yeyote ya maana.
Mourinho hanaga mbambamba

Cr7 akaja kupiga kwenye mshono
 
Ten hag ni kocha ambae bado tunamuhitaji Sana EPL

Tuachane na kelele za jf, mashabiki wengi huko duniani Wala hawana noma nae
Allypipi ana nguvu sana na ndo mshabiki wa kweli wa Manunu maana ana matumaini ya aiabu kwlikwli....ila Flano bahari imechafuka kidogo tyri kala Kona🤠🤠🤠....tunamtaka humu vipindi vyte....furaha au huzuni awepo
 
Allypipi ana nguvu sana na ndo mshabiki wa kweli wa Manunu maana ana matumaini ya aiabu kwlikwli....ila Flano bahari imechafuka kidogo tyri kala Kona....tunamtaka humu vipindi vyte....furaha au huzuni awepo
Flano utamuona jioni au usiku
Jamaa atakua mlinzi somewhere

Allypipi yeye ameamua kujitoa ufahamu mazima
 
Wakati arsenal tunachukua midfielder, nyie mkaona pesa yenu mtakapanye kwenye kununua hojlund, onana, mount

Nasijui mliingia wapi, mkapewa nyongeza ya amrabat kwa mkopo
IMG-20231107-WA0020.jpg
 
Erik ten Hag was furious at Anthony Martial because of his attitude in the game.

The manager berated Martial, and the Frenchman arrogantly dismissed Ten Hag with hand gestures.
Kocha mjinga huyu, siku zote leo ndio anajua Masho ni takataka?
 
Manyumbu hayapo fair kabisa. Nick Pope kaumia, mpira upo mbali kabisa na goli lakini bado yaliendelea kucheza tu mpaka refa kapuliza kipenga.
 
Back
Top Bottom