D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Erik ten Hag on the performance:
“I will talk with my team.”
“I will talk with my team.”
Hapo hakuna kochaKipara anakariri, nilijua atamtoa kobbie mainoo
Hakuna kocha hapo"Ufafanuzi wa wazimu ni kufanya jambo lile lile mara kwa mara na kutarajia matokeo tofauti."
1st half Man of the Match, MAGUIRE hili jamaa linakaba bana.
Wan Bissaka mbovu sana leo. Toa Bissaka weka beki mtulivu mwenye akili kunwa LINDELOF.
Toa Masho weka Hujlund toa Rashford weka Anthony. Kushoto Garnacho kulia Anthony hapa tutawapiga counter attack za hatari.






Alijifunza tabia mbaya na ukatili kwenye ile tamthiliaView attachment 2831833
Dogo janja Anthony ollie Gordon View attachment 2831834
In GOT and St james park
Hojlund nilimuelezea humu na takwimu niliweka
Alifunga goli 9 tu kwenye mechi 30+ za Ligi Seria A
kwa EPL anaweza kuvunja record ya Weghost![]()



Paul Scholes on Manchester United: “Too many lazy players on the football team - you can’t get away with that.”
Huyu anaenda kuvunja ile record ya Weghost
Duh,ukweli mchunguNiliwahi sema kwa mpira wa ETH Hakuna timu ya Top 10 itakubali kufungwa au kutoa sare na manjesta
Wale top 10 wote watachukua points 3 kwa manjesta
Bado Astonvilla, Liverpool,Chelsea wanataka points 3 kila mmoja
Huyu kaongea ukwel kwa mara ya kwanza bila kuweka hisia


Huyu anaenda kuvunja ile record ya Weghost
%