Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,876
- 32,796
Mwamba hawazi kubadili mbinu au ndiyo kick the ball forward and inshallah.
Mwamba hawazi kubadili mbinu au ndiyo kick the ball forward and inshallah.
Bado hajafukuzwa tu ?“The definition of insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.”
Ameshapoteza pambano la dressing room tokea asubuhi.Bado hajafukuzwa tu ?
Huenda Chrismass atailia NetherlandsAmeshapoteza pambano la dressing room tokea asubuhi.
Sidhani kama ataweza kubadili hali, nimezungumza kwa uzoefu wangu.
Na yeye naona anasubiri barua ya kuacha hiyo kazi maana ni kama imekuwa nzito sana kwakeAmeshapoteza pambano la dressing room tokea asubuhi.
Sidhani kama ataweza kubadili hali, nimezungumza kwa uzoefu wangu.
Anakula zake 350k p/w wasiwasi wa nini timu lenyewe bovu?Miezi minne nyuma baada ya kununua mashambuliaji, wanalazimika kurudi sokoni tena kumtafuta mashambuliaji
Nawazungumzia nyumbu, vichaa fc
Miezi 6 mbele watalazimika kurudi sokoni kutafuta kipa, kwasababu kipa wa Sasa alienunuliwa miezi sita nyuma wamegundua sio kipa ni Pazia
Kuna Antony, mount,
hamis77 alishaongea Sana Tena kwa facts
Sancho yeye ndio kaamua kuizila/kuisusia hii team
Anakula zake 350k p/w wasiwasi wa nini timu lenyewe bovu?
Rashid Makame nae soon atapata kitambi maana 450k p/w sio haba
Martial ndo kabisa, anakula zake pensheni hadi mkataba uishe
#Jijiemyu
Kuna mount hamis77 anamuita mfanyakazi hewaAnakula zake 350k p/w wasiwasi wa nini timu lenyewe bovu?
Rashid Makame nae soon atapata kitambi maana 450k p/w sio haba
Martial ndo kabisa, anakula zake pensheni hadi mkataba uishe
#Jijiemyu
Alishatimiza vigezo vya kufukuzwa ,Huenda Chrismass atailia Netherlands
Ten hag akiondoka itakua simanzi Sana aiseeAlishatimiza vigezo vya kufukuzwa ,
Kwasasa sisi wapinzan tunaomba apewe mkataba mrefu zaidi


Ni suala la muda tuAlishatimiza vigezo vya kufukuzwa ,
Kwasasa sisi wapinzan tunaomba apewe mkataba mrefu zaidi
😀😀Ten hag akiondoka itakua simanzi Sana aisee![]()
Ahaaaa huwa nikikumbuka comments za Ronaldo na Mourinho, naamini Nyumbu wana miaka 20 kurudi angalau kugombea ubingwa...Mvunjieni mkataba mpeni chake
Kocha ataekuja na falsafa zake wachezaji wafuatao hawahitaji; Antony, Onana, hojlund, mount,
Option itakua ni kuuza kwa hasara
Mtaenda sokoni Tena kununua wachezaji kwa bei ya kupigwa
Miezi 6 mbele mtagundua baba ubaya ten hag na huyu mliemleta tofauti yao ni vichwa tu
.
Mateso yanazunguka katika duara hilo