D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Kutoka mwaka 2021 hadi leo hii, antony martial ameshawahi kucheza dakika 90?
Kashatoka nje hukoKutoka mwaka 2021 hadi leo hii, antony martial ameshawahi kucheza dakika 90?
DOTARD nafikiri ndio neno sahihi kuielezea manchester united.Hii ndio tafsiri halisi ya underdog
Maguire umeona alivojua kutufurahisha Leo mkuu. Nkajua wamesawazisha aiseee lakini kuja kushtuka Maguire keshafanya yake.