Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,323
- 33,708
Bado hajafukuzwa tu ?Tushukuruni kwa kila jambo. Naona Mungu anatuelekeza maumivu waliyokuwa wanapitia Arsenal na Liverpool kwa kipindi cha miaka zaidi ya 20 iliyopita.
Sisi hata miaka 10 haijakamilika vizuri tumeanza kulalamika.
Tuweni na shukrani kwa kila jambo wekundu wenzangu.