Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Na katika hali kama hii...kinachofuata ni kukaziwa adi na watoto wadogo yaani apa kina palace na wolves wale....maana wanaamin wakikomaa kwako wanachukua points vizur tu kwakuwa wanajua hivi sasa Man Utd ni papatu papatu na hamshindi kwa uwezo wa timu kama timu.Team imekuwa ya kijinga sana hii, sikui ETH anafundisha nini tu. Hatueleweki tunacheza mfumo gani, hatuwezi kupiga pasi 5 bila kupoteza mpira, huko mbele watu wanapishana kama wanaenda sokoni(hakuna ubunifu wowote).
Kama tunapigiwa mpira mwingi hivi na kateam ka Denmark, EPL tutamaliza nafasi ya ngapi..?
Dah!...hii timu yenu ni bora ingeuzwa tu, mie sio shabiki wa united lakini na Stick na hoja ya G.Neville...kuwa shida ipo kuanzia hierach adi kwa wamiliki wa timu.
Yani...Carragher anasema wachezaji ndo wenye shida lakini NACHOKIONA NI KUWA WACHEZAJI WENU HAWAWEZI KUFANYA ZAIDI YA PALE TULIPOONA...tukiaanzia mechi zote na mahasinu wenu mlizopigwa 6-3 kwa city, ile ya 7-0 kwa liver(tena ilikuwa ni liver ile mbovu) na ata jana 0-3 kwa city pale OT. Na adi kufikia timu kubwa kama united kuwa na wachezaji wasioendana na hadhi ya timu...inatokana na POOR SCOUTING NA RECRUITMENT DEPARTMENT YA TIMU YENU(Ambapo ndio apa alipomaanisha NEVILLE...YAANI TATIZO LA KIUONGOZI)...Hapa naenda mabali zaidi kwa kusema Either MNASAJILI WACHEZAJI WA KAWAIDA WASIOOENDANA NA PROJECT YA CLUB au WANAOSAJILIWA HAWAJAKIDHI MAHITAJI YA FALSAFA(STYLE YA UCHEZAJI) YA MAKOCHA WENU....MAANA UKIANGALIA KATIKA MECHI ZOTE HIZO ZA 6-3, 7-0, ile ya madogo Copenhagen ushindi wa papatu papatu na ata ile jana kupigwa na City OT 0-3....WAEZA UKAONA KABISA UNITED HAIELEWEKI INATUMIA FALSAFA/STYLE GANI YA KIUCHEZAJI...NA KOCHA KAMA TEN HAG NI KOCHA MKUBWA NA AMBAYE KAPITA KWENYE TIMU KADHAA ULAYA IKIWEMO BAYERN NA AJAX....TOKEA ALIVYOKUWA BENCHI LA UFUNDI BAYERN....HIVYO HUWEZ SEMA ETI HANA FALSAFA YAKE SIO KWELI, ISIPOKUWA HAPO WACHEZAJI WAMESHINDWA KUENDANA NA FALSAFA YAKE YA KIUCHEZAJI NAHISI.