Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,873
- 233,407
Kwahiyo uniaikacha timu au sio?😂😂😂Maisha yanitese na Man U initese pia.??.
Nimeamua kurudi nyuma kidogo..mechi zetu hata hazina mzuka tena
Na bado😂🖐️
Kwahiyo uniaikacha timu au sio?😂😂😂Maisha yanitese na Man U initese pia.??.
Nimeamua kurudi nyuma kidogo..mechi zetu hata hazina mzuka tena
Bado hajasemaErik ten Hag when asked when he will be able to play the same football with #mufc that he showed with Ajax:
“Never. We will never play that football. Because those were different players. This is also not why I came here. We are playing different football than I showed at Ajax because I have to, because I can't play the same way.
The players decide how you play. Ajax has a very typical and characteristic style of play, with Manchester United I will always show different football, I did so last year as well. We play much more direct football here because I have the players for that here.”
onana,antony na martinez wote wametoka ajax alipoteza muda mwingi kutaka kumsajili de jong sababu ya aina ya mchezaji anaemtaka ! kama hutaki kucheza huo mpira wa ajax kwann umepoteza hela nyingi kununua kipa wa aina ya mpira unaotaka kucheza yamemshinda huyuHao wachezaji si anasajili mwenyewe au analetewa!
Afadhali angetutia moyo kuwa baada ya nisimu kadhaa akishapata wachezaji wanaoendana na aina hiyo ya football.
Mkuu yani umehama leo leo na umeanza kuwasagia kunguni na kuanza kuwaita nyumbu juu😂Nyumbu mtateseka sana. The Magpies wanawasubiri. 😆
Hesabu miaki kumi ya shida n furaha ya baadhi ya mechi usajili wa January usishangae tunamludisha Elanga na LingardUsajili January uta boost team na performance
Kikubwa asome weakness, then atafute majibu sahihi
Facundo alijua san kuwakera😃😃😃Timu kama hii ndiyo unategemea ikashinde mechi ya Derby! 🚮
View attachment 2798096



Manchester United and Chelsea hivi vilabu havina tena mvuto wa kuangaliwa na mashabiki zao kama zamani (miaka 25 iliyopita) kwa miaka 5 iliyopita Chelsea imekuwa na changamoto kwenye kusogea nafasi ya kwanza katika Premier League, huku Mashetani wekundu (Manchester United) tangu mwaka 2013 kipindi cha utawala wa Sir Alex Ferguson klabu imekuwa na changamoto ya kumpata kocha ambaye anaendana na Falsafa za klabu hiyo.
Kwa wakati flani kocha José Mourinho aliipa heshima klabu hiyo mwaka 2017 lakini hakufanikiwa kubeba Epl.
Kwa miaka 7 sasa Utawala wa Manchester City umekithiri huku vilabu vidogo vidogo kama Tottenham Hotspur, Aston Villa na Newcastle United vikijitutumua kuchukua nafasi ya Manchester United na Chelsea huku klabu kongwe Liverpool ikiwa kwenye mizani (kupanda/kushuka) >>>Wachezaji wa Manchester United hawajitumi wanaendelea kumuangusha kocha wao.
>>>Wamechoka mapema yale mashambulizi na kutawala mchezo umekuwa wa kawaida kila timu inapenda kukutana na Manchester United au Chelsea kuliko vilabu vingine ili kwa sababu vinajua Manchester United na Chelsea ni vilabu ambavyo havina ugumu wa kufunguka mabeki zao na viungo vyao ni vyepesi wa kufunguka.
Arsenal msimu uliopita alitawala soka la England hata msimu huu pia mwendo ni uleule vijana ni wengi na wanauchu na ubingwa lakini kuna timu imekuja na nguvu mpya Tottenham ambao msimu uliopita walikuwa tofauti na msimu huu...Nini cha kufanya?
Pochettino na Ten Hag wanatakiwa kufaham ligi ya Uingereza siyo mchezo ingawa Pochettino anafaham utawala wa vilabu mbalimbali vya Uingereza vinaugum lakini sasa kashindwa kupenya kwa kila ngome matokeo yake anaweza kufutwa kazi kwa wakati flani 
Ten Hag naye msimu uliopita alifiti zaidi katika Premier League kwa wakati huo na akiwa kocha mpya lakini mazowea Epl amekuwa kama kocha mpya vilabu vido anapata pointi kwa shida zaidi.
Ni kocha mmoja tu aliyekuja England akakaa mwaka mmoja bila kombe lakini mwaka uliofuatia akabeba Epl tena misimu miwili mfululizo.
Erik ten Hag hatakiwi kuwa na hasra mana wachezaji ni kama watoto wadogo wanatakiwa kuelekezwa pa sipo na hasra hapo watajirekebisha wao pasipo na kupelekeshwa.
Erik ten Hag kibarua kinaweza kuota nyasi siku za usoni endapo mwenendo wake utakuwa hivi.
Pochettino na Chelsea yake ni vichekesho kabisa wachezaji wapo na wenye viwango bora lakini mfumo wa kocha umekuwa shida kwao kila mchezaji amekuwa wa kawaida sana.
Pochettino anaweza kuungana na kocha wa Manchester United Erik ten Hag kwa kupoteza vibarua vyao huko kwenye vilabu vyao.
Kwa habari za michezo zaidi follow Benjamin Bruce Sport'sLeo kasema kamwe hawez fundisha mpira wa Ajaxonana,antony na martinez wote wametoka ajax alipoteza muda mwingi kutaka kumsajili de jong sababu ya aina ya mchezaji anaemtaka ! kama hutaki kucheza huo mpira wa ajax kwann umepoteza hela nyingi kununua kipa wa aina ya mpira unaotaka kucheza yamemshinda huyu
DahKwaio nyumbu bado zimelala sio?
View attachment 2798160
"I was not backed in the transfer window to bring in players favourable to my style of play"Erik ten Hag when asked when he will be able to play the same football with #mufc that he showed with Ajax:
“Never. We will never play that football. Because those were different players. This is also not why I came here. We are playing different football than I showed at Ajax because I have to, because I can't play the same way.
The players decide how you play. Ajax has a very typical and characteristic style of play, with Manchester United I will always show different football, I did so last year as well. We play much more direct football here because I have the players for that here.”