2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,725
Kama kocha ameamua kurudia mfumo ule ule wa mipira mirefu kwa kukwepa buildup kuanzia eneo la ulinzi, kwa nini tumemsajili Onana.
Si tungelibaki na de gea then hela ya usajili wa kipa ikatumika kwengine?
Nimeangalia highlights za Onana kwa mechi ya jana kupitia video hii, amepiga goal kick nyingi sana zisizo na ulazima ambazo hazikufikia target lengwa.
Bila ya shaka ni amri kutoka kwa mwalimu.
Huyu si onana tuliyemuona fainali, inaonekana mwalimu anategemea individual brilliance ya wachezaji ili baadhi ya mambo yake yafanikiwe.
Mpira wa leo ni family, asipokuwepo juma basi bakari acheze kama juma.
Structure, identity, pattern of playing ya timu haipaswi kubadilika kama muandamo wa mwezi wa Tanzania
View: https://x.com/MadnessFc4/status/1709322419247440101?s=20
Sizungumzii magoli,Ukiondoa pasi mbovu ya Onana iliyopelekea penalty sijaona ni kwa namna gani goalkeeper mwingine angeweza kuokoa hayo magoli waliyofungwa.
Kifupi united hakuna mabeki na kocha pia haeleweki anacheza mfumo gani.
Pia wana point sawa na timu yangu pendwa ya Mashujaa wa lake tanganyikaManjesta ana point 0 sawa na kenge fc ambao hawashiriki
Striker tumepata ila hakuna wachezeshaji team imeoza na haieleweki inacheza nini.Ila striker tumepata wakubwa dogo apotezi nafasi kabisa kwenye chance zake.
Man United 2 kwa 1
Casemiro hapaswi kulaumiwa pale, ile card kapewa na Onana.Casemiro ni mjinga mmoja hivi
Niliwahi kusema humu, ikafikia hatua eti ubovu wa Man Utd ukawa ni kwasababu ya footwork mbovu ya De Gea[emoji1]. Yaani katika makipa ambao waliweza kufit kwenye hii Man Utd mbovu basi alikuwa ni De Gea maana kuna mechi team inacheza vibaya ila jamaa anatoka na cleansheet, kwa huyu Onana kila shot on target ina 70% ya kuwa goli.
Maamuzi ya EtH kumuachia De Gea mtu aliyetubeba tukiwa wabovu miaka yote na kuleta hili takataka Onana, atayajutia muda wote.
Aina ya kipa kama onana anacheza vizuri na kuonekana bora kwenye kikosi chenye mabeki wa maana (ukuta haswa), ila awe anabadilishana pasi na mabeki wake kwa kujiamini kama anavyopenda, ila kwenye team yenye ukuta mlaini kama Man Utd ambayo kila dakika inapelekewa mashambulizi, footwork itasaidia nini?Niliwaambia humu ipo siku na kosi lao la kuunga unga hili watakutana na dhahama nzito wajute.
Tutatafuta mno vichaka vya kujifichia ila jibu ni moja tu, asilimia kubwa ya wachezaji wa Man Utd ni avarage players.Huna kocha hapo