mchezaji mbaya mwenye 30+goals kwa mwaka jana kwa team ambayo inazidiwa possession na Burnley, huyu rashford angekuwa Chelsea kuna matokeo yasingeisha yalivyo , Chelsea kafungwa Moja Bila na Astonvill na Nottingham, Chelsea kaenda 0-0 na Everton , Chelsea kafungwa 3-1 na kakosa penalt dhidi ya westham , 1-1 na Liverpool, muweke rashford kwa nafasi Chelsea anatengeneza matokeo yasingekuwa hivyo Jackson anakosa goli mpira wa kusuma hata na tumbo . Rashford ni Moja ya clinical finisher yupo team mbovu.