Niliwaambia humu ipo siku na kosi lao la kuunga unga hili watakutana na dhahama nzito wajute.Tafuteni kipa wa kueleweka aseee
Huna kocha hapoNitashangaa sana kama huyu kocha ataendelea kuwepo
Leo mmekubali kuwa hamna kochaAibu ya mwaka aheri hata ole hapa hakuna kipa wala kocha