Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,678
Pira Gamondi si la papatu papatu teh teh.Onana nimzur kwamodern football sio kwahii papatupapatu ya man u, huyu angekuja kucheza pira gamondi tungempenda sana ten hag kaja kumuaibisha dogo
Pira Gamondi si la papatu papatu teh teh.Onana nimzur kwamodern football sio kwahii papatupapatu ya man u, huyu angekuja kucheza pira gamondi tungempenda sana ten hag kaja kumuaibisha dogo
Nilisema hiki kitu humu record zipoOnana nimzur kwamodern football sio kwahii papatupapatu ya man u, huyu angekuja kucheza pira gamondi tungempenda sana ten hag kaja kumuaibisha dogo
Ndio kilichobakiMje kututukana Kule the gunners
View attachment 2771364
Yap yap , Mnijengee sanamuMan Utd ni kama wacheza porno tu, hatuna mfumo maalumu tunabadilisha badilisha style kutoka na shepu ya mwanamke tunaecheza nae.
Kwako mwalimu Kashasha Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi. View attachment 2771365
Degea a best shot stopper hayupo Kuna pazia pale Golini kwasasa
Rashford alikuwa anafikia peak yake ya maisha ya soka , kwasasa karejea Default settings
Rashford
GoalUzembe wa mabeki na uwezo wa kuzuia mpira unaingiliana vipi?? De gea alikua anazitoa nyingi tu jamaa mguuni mzuri sana ila kukaa sehemu sahihi wakati anapigiwa mpira ni tatizo.Nimeona watu humu wakimshukia Onana kama mwewe. Niseme tu timu yetu ina matatizo mengi sana ukimaliza kusolve tatizo hili linaibuka hili. Tulianza na beki tukaja kiungo, tumekuja staiker leo tumepata kiungo na straiker beki zimekuwa mbovu.
Kwa uwezo wa shoot stopping naweza sema De gea hakuna kipa anamfikia Duniani. Ila kuna aina ya mchezo De gea hawezi na ndio maana De gea wa utd na De gea wa timu ya taifa ya Espain ni watu wawili tofauti. Hicho ndio kilichomfanya apoteze number timu ya taifa rejea fainal za kombe la dunia kule kwa Putin.
Kuhusu Onana ni mtu asiyejua mpira pekee ndiye anamuona kipa mbaya. Onana kacheza na ajax yenye mafanikio, amecheza fainal ya europe legue 2017 dhidi ya utd, amecheza intermilan tumeona kiwango chake hadi fainal ya UEFA na tuliona jinsi city walivyoteseka siku ile. Onana anabahati mbaya ya kucheza na beki mbovu ya utd bahati mbaya zaidi wale beki wenye nafuu wanaandamwa na majeruhi.
Rasmus Højlund: “It's a difficult time, but we have to stay together, it's the only way to get through it”.




Erik ten Hag on André Onana: “I think I need to talk to more players but I need to talk with André of course. I will encourage him and I have to back him. He’s a great goalkeeper.” #MUFC 







| Ten Hag on Marcus Rashford squaring it to Bruno Fernandes instead of shooting in the second half:








| Rasmus Hojlund: "Copenhagen? We need to get points now if we want to continue in the competition. I can't wait to play against them because it's my old club and my brothers play there."








| Erik ten Hag:





