Akicheza na mabeki watatu mtakufa nyingiYan hiki kikosi hata sikielew...Kwa nn anamchezesha amrabat bek ya kushoto?kwa nn asicheze na beki 3 then amrabat asogee kati...ila kocha anajua zaidi...ngoja tuone
Rashford akili ya mpira imeshamtoka, sijui nawaza nini. Sehemu ya kutoa pasi hatoi, sehemu ya kutakiwa kufunga anato psi mbovu.Rashford akaze matako leo sasa khaaaaaa
Niliwaambia humu ipo siku na kosi lao la kuunga unga hili watakutana na dhahama nzito wajute.Tafuteni kipa wa kueleweka aseee