Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Walitakiwa baada ya kupata mwalimu mpya wafanye signings zake mapema.

Siyo unasajili wachezaji ligi tayari imeshaanza.

Dirisha la 2021/2022 mchezaji aliyesajiliwa mwanzoni ni Malacia tu wengine wote walifika siku ya deadline.

Msimu huu wamefanya hivyo kwa Mount wengine wote wamefika deadline day.

Hata mwalimu anaandaaje timu katika mazingira hayo ?
Mnamtetea huyo kocha wenu hadi inatia kinyaa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kocha mle Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuaminin uwezo wa 7 Hag jamaa hajui kabisa bolu eti linakuja kenge Moja lenye mavidole marefu linaandika makala ndefu eti wachezaji wa Manchester United kiwango kibovu unajiuliza kiwango Cha wachezaji wa Wolves, Brighton na hawa Burnley ni kikubwa kuliko akina Casemiro, Bruno, ONANA, Hojlund, Luke Shaw, Mactomey huyu ambae national team ni moto wa kuotea mbali, Varane, The butcher, linderlof ambae ni regular starter wa national team, Sancho ambae alikotoka alikuwa wembe mkali sana ifike mahali tukubali kuwa tuna average coach katoka ligi dhaifu kaja ligi ya wanaume kweli, unatoka kushindana na PSV unajiona wewe kocha? Mashabiki wa United tukubali kuwa pamoja na matatizo yetu ya menenimenti lkn hatujapa mwl sahihi huyu ni uozo United ni kubwa kuliko yeye au basi hii mikikimikiki ya EPL haiwezi KAMWE

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Walitakiwa baada ya kupata mwalimu mpya wafanye signings zake mapema.

Siyo unasajili wachezaji ligi tayari imeshaanza.

Dirisha la 2021/2022 mchezaji aliyesajiliwa mwanzoni ni Malacia tu wengine wote walifika siku ya deadline.

Msimu huu wamefanya hivyo kwa Mount wengine wote wamefika deadline day.

Hata mwalimu anaandaaje timu katika mazingira hayo ?
Hivi mnapata wapi nguvu ya kumtetea huyo mwl wakati alipewa fungu akawaleta Antony, Malacia etc? Kocha wa Brighton ana only six months kibaruani huyu kipara ana mwaka na miezi kadhaa lkn mpaka sasa hatujui anafundisha nini, timu hata pass 10 hazifiki tunapigiwa pass 28 na Brighton OT hadi goli bila kugusa mpira huyu kweli ni mwl wa mpira? Sifa mojawapo ya mwl ni kukuza viwango vya wachezaji je huyo kocha wenu kakuja kiwango Cha mchezaji gani hapo matofalini?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kocha mle Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuaminin uwezo wa 7 Hag jamaa hajui kabisa bolu eti linakuja kenge Moja lenye mavidole marefu linaandika makala ndefu eti wachezaji wa Manchester United kiwango kibovu unajiuliza kiwango Cha wachezaji wa Wolves, Brighton na hawa Burnley ni kikubwa kuliko akina Casemiro, Bruno, ONANA, Hojlund, Luke Shaw, Mactomey huyu ambae national team ni moto wa kuotea mbali, Varane, The butcher, linderlof ambae ni regular starter wa national team, Sancho ambae alikotoka alikuwa wembe mkali sana ifike mahali tukubali kuwa tuna average coach katoka ligi dhaifu kaja ligi ya wanaume kweli, unatoka kushindana na PSV unajiona wewe kocha? Mashabiki wa United tukubali kuwa pamoja na matatizo yetu ya menenimenti lkn hatujapa mwl sahihi huyu ni uozo United ni kubwa kuliko yeye au basi hii mikikimikiki ya EPL haiwezi KAMWE

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mimi hoja yangu huwa Ni hii pamoja na matatizo ya Grazzer family,sio sababu ashindwe kuweka uchezaji sahihi

Ndio Maana alikuwa outplayed na wolves ambayo kocha wao alikuwa na wiki 1 tu ,

Mngepata mwalimu mzuri hata matatizo ya Grazzer msingeyaona ,man u ina wachezaji professional kwenye National teams zao ,tofaut kabisa na wa kina wolves , Burney, Brighton,

Lakin wanakuwa outplayed sababu mwalimu hawez kufundisha Mpira kwenye Ligi kubwa
 
Chelsea yangu inachekesha ila nikija kwenye hili jukwaa nacheka zaidi
20230903_212503.jpg
 
Hivi mnapata wapi nguvu ya kumtetea huyo mwl wakati alipewa fungu akawaleta Antony, Malacia etc? Kocha wa Brighton ana only six months kibaruani huyu kipara ana mwaka na miezi kadhaa lkn mpaka sasa hatujui anafundisha nini, timu hata pass 10 hazifiki tunapigiwa pass 28 na Brighton OT hadi goli bila kugusa mpira huyu kweli ni mwl wa mpira? Sifa mojawapo ya mwl ni kukuza viwango vya wachezaji je huyo kocha wenu kakuja kiwango Cha mchezaji gani hapo matofalini?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wolves walifukuza mwalimu wiki moja kabla ya kucheza na man u , wanafanya training session 2 tu, wakamu outplay huyo kocha wenu OT, ambaye alikuwa na timu pre season.

Hapo wolves pia waliwakosa key players wengi,

Ni hivi ETH Hana uwezo wakufundisha Mpira wakueleweka kwenye Ligi kubwa,

Kwa Ligi ya uholanzi hata mgunda anaweza kufundisha timu ikacheza Mpira mzuri tofauti na Ligi kubwa

Vicent Company mtoto wa juzi tu ana principle kadhaa za ufundishaji , kamu outplay ETH pakubwa Sana ,Ni vile Burney hawana maturity kubwa ya wachezaji

Hii inakuonesha ETH ana uwezo mdogo Sana kiufundishaji
 
Kwa tunaofanya analysis za mechi ,kilichompa mafanikio ETH mwaka Jana Ni

Uimara wa Degea ndio Maana ana cleansheet nyingi Wala sio uimara wa Beki

Kuna mechi zaidi ya 10 ambazo ilikuwa alama zidondoke Lakini ziliokolewa na Degea

Mfano manjesta vs Leicester city ambayo ilikuwa dhoofu , mechi inaisha 1-0 lakin Degea anaokoa Sana .zipo mech Kama hizo karibu 10

Form au Peak ya Rashford, mwaka Jana ndio alikuwa anafikia peak yake katika maisha yake ya soka

Factors nyingine Ni kupotea Sana kwa Liverpool na Chelsea

Kukosekana kwa Degea ambaye Ni best shot stopper ,kurudi default settings ya Rashford,Kurejea kwa Liverpool Basi 7HAG atawekwa uchi msimu huu

Manjesta inavyocheza msimu huu Wala haina tofauti na msimu Jana ,playing style Ni ile ile tofauti Ni hizo factors hapo juu
 
Good Morning Reds .

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230924_100337_230.jpg
 
Jonny Evans: “I loved every minute of it. Before the game you get a feeling — I couldn't wait, just pure excitement”.

“That was my 200th game for Man Utd, I never thought I would ever reach that figure. It’s unforgettable”.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230924_100305_937.jpg
 
A proud night for Jonny 🫶

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230924_100358_069.jpg
 
Mimi hoja yangu huwa Ni hii pamoja na matatizo ya Grazzer family,sio sababu ashindwe kuweka uchezaji sahihi

Ndio Maana alikuwa outplayed na wolves ambayo kocha wao alikuwa na wiki 1 tu ,

Mngepata mwalimu mzuri hata matatizo ya Grazzer msingeyaona ,man u ina wachezaji professional kwenye National teams zao ,tofaut kabisa na wa kina wolves , Burney, Brighton,

Lakin wanakuwa outplayed sababu mwalimu hawez kufundisha Mpira kwenye Ligi kubwa
Well explained mkuu

Back
Top Bottom