Hakuna kocha mle Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuaminin uwezo wa 7 Hag jamaa hajui kabisa bolu eti linakuja kenge Moja lenye mavidole marefu linaandika makala ndefu eti wachezaji wa Manchester United kiwango kibovu unajiuliza kiwango Cha wachezaji wa Wolves, Brighton na hawa Burnley ni kikubwa kuliko akina Casemiro, Bruno, ONANA, Hojlund, Luke Shaw, Mactomey huyu ambae national team ni moto wa kuotea mbali, Varane, The butcher, linderlof ambae ni regular starter wa national team, Sancho ambae alikotoka alikuwa wembe mkali sana ifike mahali tukubali kuwa tuna average coach katoka ligi dhaifu kaja ligi ya wanaume kweli, unatoka kushindana na PSV unajiona wewe kocha? Mashabiki wa United tukubali kuwa pamoja na matatizo yetu ya menenimenti lkn hatujapa mwl sahihi huyu ni uozo United ni kubwa kuliko yeye au basi hii mikikimikiki ya EPL haiwezi KAMWE
Sent from my Infinix X665 using
JamiiForums mobile app