D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,643
- 121,047
Kocha atakayeamini falsafa yake.Nani ataenda kumreplace Ten Hag ?
De Zerbi ? Bielsa ? Au Conte ?
Ten hag alipaswa ashikilie mpira wake tuliouona pre season dhidi ya crystal palace msimu uliopita hata kama atapoteza alama muhimu baadhi ya mechi.
Ukiwa kama kocha huu si ulimwengu wa kuwaridhisha wachezaji, bali ni kuwalazimisha wachezaji wafuate matakwa yako.
Angalia PSG ya enrique wanavyocheza licha ya kwamba ana miezi mitatu.
Kalinda identity yake.
Mchezaji asiyekufaa muondoe, ndio kanuni ya guardiola









