King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,980
- 4,942
Dah!tuna maadui wengi sanaRefa alikataa penalty, leo arsenal wamepewa penalty
Dah!tuna maadui wengi sanaRefa alikataa penalty, leo arsenal wamepewa penalty
Sikuwa na maana hiyo, najaribu kuiweka akili ya murtough nafasi ya EDU.Kwanini tunataka Ten Hag stoke wakati hata mahitaji yake hapati kwa wakati?
Mechi yetu dhidi ya liverpool izidi kuwa mbali
Wanakimbia kama vichaaHuyu liver kawa wamoto tena
Arsenal cjawahi kuwaamini hata siku moja hao ni mbio za vijiti.Kocha wa Tottenham ana miezi mitatu, wanakwenda jino kwa jino dhidi ya ARSENAL.
hata kama watafungwa siwadai chochote.
Chelsea wana laana.
Liverpool anafukuza mwizi kwa jogging
Wala sio mbali sana mwezi ujaoMechi yetu dhidi ya liverpool izidi kuwa mbali
Kama ni hivyo basi awajibike hata kama hana makosa.
Ndio maana wao makocha wanakuwa wa kwanza kufukuzwa.
Huwezi kufukuza wachezaji kwa kumlinda kocha mmoja
Last year hakuwa na majeruhi mengi kama ilivyo sasa kama hujui mpira ni bora ukae kimya.Hakuna kocha anayesumbuliwa na majeruhi wengi pale EPL kama Ten hag na ni toka msimu uliopita hivyo ni ngumu kwa kocha na timu kupata utulivu muulize Klop kilichomkuta mwaka jana baada ya kuwa na majeruhi alikuja kupata auheni mwishoni mwa ligi.Last year alifurukuta sababu ya wachezaji kucheza kwa juhudi kubwa sababu ya kumdhihirishia kocha kuwa wanamsapoti
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Haaahaa yaani unawaza kama mimi mkuu yaani huyu kima nimetokea kumchukia balaa yaani anatupotezea chance nyingi sana za magoli yaani halafu hata majeruhi halipati.ajitokeze demu mmoja tu aseme kwamba Rashford amemfanyia violence basi sisi huku hadi Africa tuta msapoti huyo mwanamke kwa mara ya kwanza na picha na video za vidonda tutatengeneza, Rashford ni takataka inayoishi serious
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app

Gary Lineker on Rasmus Hojlund: “I have watched him in his first two or three games and he has only scored one goal, against Bayern, but he looks to me like he will score goals. I like his movement.”






Marcus Rashford was involved in a car accident after the match against Burnley. He was shaken, but suffered no injuries.
.






Police spoke to Marcus Rashford and the other driver, both unharmed, and gave them a breathalyzer test before allowing them to return home. No ambulance was needed. 






Anaweza kuwa hawezi hivyo na hata akimfukuza atakuwa amemuonea tu kama ED Woodward alivyofanya kwa Moù na Van gaalSikuwa na maana hiyo, najaribu kuiweka akili ya murtough nafasi ya EDU.
Je naye anawaza kama edu?