Hawana timu ,Wala kocha wakuifunga Brighton BHAWA mkitulia mnawafunga kabisa Hawa....muongeze umakini tu pale mbele
Kocha uwezo mdogoMan utd Inahitaji Deliverance
Man utd Tatizo sio Kocha Tatizo ni Uongozi Wa Juu, wanan'gang'ania Aina ya Wachezaji ambao inaonekan kabsa Ni Project iliyofeli.Kocha uwezo mdogo
Nisikilize Mimi kocha Ni uwezo mdogoMan utd Tatizo sio Kocha Tatizo ni Uongozi Wa Juu, wanan'gang'ania Aina ya Wachezaji ambao inaonekan kabsa Ni Project iliyofeli.
Kiufupi timu inaungwa ungwa na super glue... Unaleta kipa la possession football kwenye squad ya counter attack football lazima wa mrambe maana kikawaida onana sio shot stopper mzuri hio hela ni tungeenda kwa maigan ya ac Milan au kwa diogo costa wa benficaUkweli ni kuwa hii timu yetu ilikuwaga mbovu sana na hasa mabeki na viungo na De gea alitufichia sana hayo madhaifu kwa uwezo wake binafsi, Onana sio kipa mbaya ila kwa beki hizi cha moto tutakiona maana hata aina ya mpira anaocheza Onana beki na viungo hawahuwezi so hakunq chemist yeyote.
Tatizo si kocha...Nisikilize Mimi kocha Ni uwezo mdogo
Mtaendelea kujificha kwenye kichaka Cha Grazzer family Hadi lini
Ten Hag kubadilisha tu mfumo kwasababu Antony hayupo nishajua ni tapeli. Yani Pellistri yupo ila hafai mpaka anabadili mfumo.Mashabiki wanamzomea 7hag kumtoa nje Hojlund
Kidogo kidogo wanaanza kuelewa Kocha ana shida
Siku uongoz utakapo toka ndipo watakapo amini ubovu upo hapo badili wachezaji unaowataka makocha unaowataka kwa amount unayotaka still you wont solve man utd's problemMan utd Tatizo sio Kocha Tatizo ni Uongozi Wa Juu, wanan'gang'ania Aina ya Wachezaji ambao inaonekan kabsa Ni Project iliyofeli.