D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
ETH is cooking, OGS na JOSE tuliwaelewa mwanzoni then mwishoni wakatuchanganya. ETH mwanzoni anatuchaganya, tutaelewa baadaeTen Hag: “My decision is based on Jadon Sancho is only based on principles”. [emoji3544]
“That’s not about me. This is in favour of the team, my decisions are always based on that”.
“My answer on Sancho after AFC game? I am always honest”.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ETH is cooking, OGS na JOSE tuliwaelewa mwanzoni then mwishoni wakatuchanganya. ETH mwanzoni anatuchaganya, tutaelewa baadae
Leo mtasafa , Brighton wanapenda Sana kucheza na wapaki basiNi siku nyingine tena ya kupata ngarambe Safi[emoji38] kikosi Cha watu wazima kinashuka leo kutoa burudani kabambe Sana majirani wote karibuni sana mpate burudani.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Manchester United 2 vs Brighton 1
[emoji355]11.00 jioni
[emoji2522]Old Trafford
hawa watoto tutachapa Sana leo
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Aaaah hakika kitawaramba [emoji16][emoji16]View attachment 2750708
[emoji1][emoji1][emoji1]ETH is cooking, OGS na JOSE tuliwaelewa mwanzoni then mwishoni wakatuchanganya. ETH mwanzoni anatuchaganya, tutaelewa baadae
Aisee I will be there no matter whatLeo tunashinda! Nashindwa kuelewa kwanini watu wana wasiwasi.
Tusiposhinda na-deactivate account.
DrawNi siku nyingine tena ya kupata ngarambe Safi[emoji38] kikosi Cha watu wazima kinashuka leo kutoa burudani kabambe Sana majirani wote karibuni sana mpate burudani.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Manchester United 2 vs Brighton 1
[emoji355]11.00 jioni
[emoji2522]Old Trafford
hawa watoto tutachapa Sana leo
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Aaaah hakika kitawaramba [emoji16][emoji16]View attachment 2750708