Uingereza unambeba na watafungwa sana mpaka wachakaeHivi Pelistri kamkosea nini Ten hag mbona huyu ndio anafaa aanze na Hodjlund pamoja Garnacho kwenye number ya Rashford.
Uingereza unambeba na watafungwa sana mpaka wachakaeHivi Pelistri kamkosea nini Ten hag mbona huyu ndio anafaa aanze na Hodjlund pamoja Garnacho kwenye number ya Rashford.
Walumbushe de gea bado hana timuNarudia tena Tafuteni kipa wa kuelewek.
Mwaka huu ni top 5Man city Liverpool Spurs Arsenal
Hii ndio top 4![]()
Wamrudishe de gea aje aokoe jahazi hana timu mwambaHakuna Ronaldo wala Maguire.
Basi lawama zitarudi kwa Glazzers![]()
Uwezo wake ndio umeishia hapo, hana plan B, hajui hata afanye nini,Hii presha yakufungwa 10hag asipoweza kui handle basi ndani ya mechi 10 zijazo zitaamua hatima/fate ya kibarua chake ndani ya team... Afanye ile miracle ya last season worst start then tuka click upon gameweeks goin 7-10 gm/w tuko top 6
Al-Hadidy 😂Kuna kale kachambuzi koko bingwa wa kutukana matusi mnaposema ukweli sijui kamefia wapi,
Sometimes tunatakiwa kuweka unazi pembeni na kuzungumzia uhalisia, ten hag hawezi kutufikisha popote, mara 100 David Moyes (najua hapa hamuwezi kukubali but time will tell)
Matusi mliyokua mnanitukana kipindi cha pre season yaleteni tena, ten hag asipofukuzwa tutakua na bahati sana kumaliza ndani ya kumi bora.
Kituo kinacho fuata ni kufirimbwa na bayern


Muongeze brighton/westham kwenye hio top 5 spotMwaka huu ni top 5