Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,245
Mbona nyie huo wa papatu papatu hamjaupata?Yani mashabiki wa arsenal hata aibu hawana kwa mpira ule matokeo ya 3-1 ushindi wa papatu papatu basi wana amini tutakimbia jukwaa dah[emoji23]
Yani mtu umeona kabisa sub zile zimekupa mwanya bila hivo chao wasingekuwa nacho jana
Hili jukwaa tupo nalo ni mali yetu hadi mapumziko yaishe wajipige ban wenyeweHAHAHAHAHAHAHAH,,,,sema nini kaka wasamehe kidogo mpka ipite hii break
🚨 JUST IN: Yahya Jebrane has joined the Morocco national team camp - rumours about a potential injury for Sofyan Amrabat. [MoroccanGrinta]Sofyan Amrabat when asked to describe himself as a player. [emoji123]
Love that mentality [emoji3590]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2742676
Nimeisoma na mimi muda si mrefu hapa hata sielewi kinachoendelea ni nini.[emoji599] JUST IN: Yahya Jebrane has joined the Morocco national team camp - rumours about a potential injury for Sofyan Amrabat. [MoroccanGrinta]
[emoji392] @Manchester_Utdfc
Jaribu kufukunyua mkuuNimeisoma na mimi muda si mrefu hapa hata sielewi kinachoendelea ni nini.
Jaribu kufukunyua mkuu
Huenda taarifa ni kweli
Kafukueni fisi OT
Mnamlaumu Ten Hag sjui mnafanya maksudi tuuu, De gea anakupa matokeo mazur kama timu inategemea mfumo wa counter attack , De gea hawezi kukupa matokeo mazur kwenye mfumo wa pressing sababu kupiga Pasi kwake ni shida lazima achome tuu.... Onana huo uwezo anao , changamoto ni kuwa kama defence ni mbovu au timu inaruhusu mashambulizi Sana Kipa kama onana hawez kukupa matokeoAkili za Ten Hag bwana,yaani ONANA ni bora kuliko De Gea??[emoji1787][emoji1787]ukisikia akili za MAKALIO ndio hizo alizotumia
Ten egg anakosaje lawama ikiwa ananunua kipa mzuri kwenye based possession,Lakini yeye anacheza kaunta attackMnamlaumu Ten Hag sjui mnafanya maksudi tuuu, De gea anakupa matokeo mazur kama timu inategemea mfumo wa counter attack , De gea hawezi kukupa matokeo mazur kwenye mfumo wa pressing sababu kupiga Pasi kwake ni shida lazima achome tuu.... Onana huo uwezo anao , changamoto ni kuwa kama defence ni mbovu au timu inaruhusu mashambulizi Sana Kipa kama onana hawez kukupa matokeo