Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnamlaumu Ten Hag sjui mnafanya maksudi tuuu, De gea anakupa matokeo mazur kama timu inategemea mfumo wa counter attack , De gea hawezi kukupa matokeo mazur kwenye mfumo wa pressing sababu kupiga Pasi kwake ni shida lazima achome tuu.... Onana huo uwezo anao , changamoto ni kuwa kama defence ni mbovu au timu inaruhusu mashambulizi Sana Kipa kama onana hawez kukupa matokeo
Ten egg anakosaje lawama ikiwa ananunua kipa mzuri kwenye based possession,Lakini yeye anacheza kaunta attack

Huon anachofanya 7hag Ni sawa na kumfanyia operation kichwa mgonjwa wa miguu

Moja ya wachezaji walioisadia manjesta last season sababu ya mfumo wa kaunta Ni Degea
 
Inkheart una mdomo Sana ,njoo huku
20230907_214109.jpg
 
Nimeisoma na mimi muda si mrefu hapa hata sielewi kinachoendelea ni nini.
Huyu kwenye medical check alionekana ana majeraha madogodogo,kocha was Morocco hakuona sabb yakumtumia, akasema amuache apate full recovery Ili pia atumikie club yake mpya Kwa ufanis nadhan ni makubaliano na sufian aridhia
 
Amrabat sio suluhisho

UKWELI MCHUNGU AMBAO MNATAKIWA KUAMBIWA
 
Huyu kwenye medical check alionekana ana majeraha madogodogo,kocha was Morocco hakuona sabb yakumtumia, akasema amuache apate full recovery Ili pia atumikie club yake mpya Kwa ufanis nadhan ni makubaliano na sufian aridhia
𝗦𝗼𝗳𝘆𝗮𝗻 𝗔𝗺𝗿𝗮𝗯𝗮𝘁'𝘀 𝗶𝗻𝗷𝘂𝗿𝘆 𝗶𝘀 𝗻𝗼𝘁𝗵𝗶𝗻𝗴 𝘀𝗲𝗿𝗶𝗼𝘂𝘀, 𝗶𝘁'𝘀 𝗷𝘂𝘀𝘁 𝗮 𝗽𝗿𝗲𝗰𝗮𝘂𝘁𝗶𝗼𝗻.

#𝑰𝒛𝒆𝒎𝑨𝒏𝒂𝒔𝒔 huyu ni mwanahabari wa Michezo tokea Morocco katoa hii statement Pia.
 
Hamna team nyie soon mnatema ndoano.
Nilikwambia acha kupiga kelele ,timu yako haiwezi kupiga pass 10 kwa usahihi eneo la mpinzani

Mlipiga pass 200+ touches 175 kwenye eneo lenu la backline

Dk 100 mlipiga shot on target 2 tu , Ni dhahiri hata kufika box la Arsenal kwenu ilikuwa mtihan,ndio maana hata mlipopata goli la kaunta ,dakika hiyo hiyo tukarudisha ,

Mna mentality ya timu ndogo ,

Mna onana ambaye Ni mzuri kwa timu based possession,Cha ajabu nyie Ni timu based counter attack,

What will happen?

Onana atachezea goli nyingi, atachezea fimbo Sana

Mechi 4 kashafumuliwa goli 8

Mechi 4 goli 8

Mechi 38 je atapigwa goli ngapi?

Nakupa homework siwezi kukutafunia kila kitu
20230905_173433.jpg
 
Hatukucheza vibaya sana kama unavyotuaminisha masingeli.

Mlitegemea mpate ushindi mapema ila kwa kuwa na nyie msimu huu mmeanza mkiwa butu ushindi mmeupata wa papatu papatu dakika za majeruhi beki akiwa Maguire na Evans 5th choice.

Mpaka mashabiki zenu walianza kuondoka uwanjani means hatukucheza vibaya kiasi hiko tunahitaji marekebisho kidogo to with hawa new signings waingie kwenye mfumo tuanze kukiwasha.

Nyie mkija OT hamtoki nawaambia
Mlicheza vzr wapi mbona huelezei ,mlichezaje vzr

Mimi nimekupa takwimu za mechi

Arsenal tulipiga on target 5

Kona 13

2big chances tulikosa (Kai & saka)

Mlipiga 74 passes in the final third compared to Arsenal tulipiga 209 passes .

Mlipiga pass 200+ eneo lenu la Beki ,kiungo Chenu hakikuweza kukaa na mpira hata dakika 1 ,

Hapa chini Ni Graph jinsi muda mwingi mlikuwa hamuendi eneo la Arsenal

Usichojua Martinez na Lindelof walikimbia mechi ,Ni wazima wa afya kabisa huko national team zao ,Hawa walichoka

Ndio Maana ulipokuwa unaongea Sana nilikuuliza una timu ya kushikilia bomba pale Emirates, una timu ya kuzuia dk 100?

20230903_215600.jpg
 
Nilikwambia acha kupiga kelele ,timu yako haiwezi kupiga pass 10 kwa usahihi eneo la mpinzani

Mlipiga pass 200+ touches 175 kwenye eneo lenu la backline

Dk 100 mlipiga shot on target 2 tu , Ni dhahiri hata kufika box la Arsenal kwenu ilikuwa mtihan,ndio maana hata mlipopata goli la kaunta ,dakika hiyo hiyo tukarudisha ,

Mna mentality ya timu ndogo ,

Mna onana ambaye Ni mzuri kwa timu based possession,Cha ajabu nyie Ni timu based counter attack,

What will happen?

Onana atachezea goli nyingi, atachezea fimbo Sana

Mechi 4 kashafumuliwa goli 8

Mechi 4 goli 8

Mechi 38 je atapigwa goli ngapi?

Nakupa homework siwezi kukutafunia kila kituView attachment 2743018
Mental ya timu ndogo ni timu Kama arsenyani timu miaka 20 hakuna ubingwa timu toka ianzishwe no Uefa champions league,no ueropa.

Hivi nyie ukubwa wenu ni upi au kuchuwanishwa na man u miaka ya 2000 ndo kipimo chenu Cha ukubwa.

Kombe lenye mnaweza kubeba ni FA tu.
 
mshapigwa zingine hizi polojo tu, na nazan unajua arsenal ikikupiga the way uta feel season nzima
 
Mental ya timu ndogo ni timu Kama arsenyani timu miaka 20 hakuna ubingwa timu toka ianzishwe no Uefa champions league,no ueropa.

Hivi nyie ukubwa wenu ni upi au kuchuwanishwa na man u miaka ya 2000 ndo kipimo chenu Cha ukubwa.

Kombe lenye mnaweza kubeba ni FA tu.
Hizi nyingine porojo tu

Tuliwaambia hamna timu ya kustahimili msako wa nyani

Wewe timu inasubiria kaunta ndio ipate matokeo

Tabia za kina Burney ,Stoke city ,

Hata Astonvilla, Newcastle, Brighton wameacha huu ujinga

Manjesta mna mentality ya timu ndogo

Nakwa kipa Pazia Onana , hata Carabao msimu huu hamchukui
20230904_222824.jpg
 
Ndiyo kombe lao hilo
Wewe ulikuwa na mdomo Sana

Bado huna timu hata ya kubishana na Brighton

Subiri next week uone 7hag akifundishwa mpira na master Roberto Di Zerbi

Huyu hata Pep Guardiola huwa anapaki Basi
 
Back
Top Bottom