Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Admin wa Getafe huko Twitter / X anapiga tu kwenye mshono. Feminists hawaamini wanachokiona. 😄
 
Nnachotaka kuona ni Official Statement kutoka United kuhusu Antony.

Kusiwe na double standards. Antony akae pembeni uchunguzi ufanyike.
20230905_130829.jpg
 
Jana Maguire alivyokuwa anaingia sub nilikaa na jamaa mmoja wa manjesta gafla akapata BP ya moyo palepale kibanda umiza

Nikatoka nae nje akapate pepsi big ya barid, hatujakaa hata robo saa tunasikia kibanda umiza kelele za kutosha, tukajua tayarii

HII TIMU ITAWUAAA AISEEView attachment 2739190
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.....
Magwaya le kepteein.
 
IMG_9085.png


Pamoja na Masihala tuliyonayo kwenye EPL siwezi kuja kushabikia au kubanter mchezaji kuwa alleged with rape case or assault to their women. I really feel sorry for these guys kwa sababu mara nyingi wanakua targeted na wanawake ili wapate hela za fidia.
 
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.....
Magwaya le kepteein.


Nilikaa na huyo jamaa akasema Hawa jamaa wanapiga Sana msako hata hatupumui,na hapo anaingia magwaya ,kelele za kutosha

Nikamwambia twende nje ,kidogo hatujatulia nasikia kelele,nikajua magwaya kafanya yake
 
Hawa wazee mnaowaleta watakuja kufia uwanjani

Casemiro has been dribbled past (12) more than any other player in the Premier League this season

Hzi zitaandikwa sana, sio kwmba wachezaji wa team zengine hawakosei ila tu it’s Manchester United kama unataka ku trend zungumzia hii team
Sikuizi everything is about Manchester united
Bila man utd hakuna EPL
 
Back
Top Bottom