Utakua ni mjinga sana kama huelewi impact ya majeruhi kwenye soka, especially majeruhi ya first eleven. Na budget aliopewa haikuruhusu kupata wachezaji bila kutoa waliopo hata kama dirisha lisingefungwa.
United ina watu 6 wanaoweza cheza CB, wachezaji wanne ambao ni chaguo la kwanza la kocha wameumia, tunamaliza game na 5th & 6th choice CB, kama una akili timamu lazima utegemee ubora wa defence line yetu upungue, Na huo ndio muda ambao tumepoteza mechi.
Pia kuna game plan za kucheza na tim kama arsenal, city na barca ya zamani, mpira lazima uwaachie wao then wewe utegee counter.
Kuzidiwa kila kitu haimaanishi ulikua mbovu, ila ndo game plan inavotaka, kama unaangalia mpira kwa mda mrefu, game tatu za nyuma tulizomfunga arsenal tulizidiwa kila kitu ila counter ndo zinatupa matokeo.
Usiite uchambuzi wa mwenzio Uharo.
Angalia stats za Match day 3 kati ya Brighton na Westham ujifunze kitu
View attachment 2739538View attachment 2739537