Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,392
Solution glazers out
Kosa kubwa kocha alilofanya ni kuwaingiza Maguire na Evans wacheze kwa pamoja kwenye mechi yenye uzito Kama hii wakati hawajai kucheza mechi hata moja.Tumepoteza mechi kwa uzembe wa wachezaji wachache tu hasa por marking ua beki zetu, ila kiufupi kocha hawezi kupewa lawama maana hakukuwa na option ya Erksen nje, leo huyu bwana katugharimu maana alichoka sana, pia wadau leo mtakubaliana na mimi Antony akifanyiwa sub huwa tunapata majanga sana.
Nilichokifurahia ni hatari ya timu yetu waliyopeleka kule mbele baada ya Hodjlund kuingia naamini baada ya international break tutaiona utd ya tofauti kabsa
Ni kimbembe kaka nilitaka kucheka huku naliaSasa hivi wanataka 10b 2025 si itakuwa 35b duuh![]()

.Hana kosa ,kocha wao uwezo mdogoSolution glazers out
Hivi sheria mpya ya kuotea si mpka mtu azidi mwili mzima au mimi ndio sijailewa
msimu ujaoNyie kenge mkija Anfield na Onana tusilaumiane.
Hawa manaweza kupiga hata goli 7Nyie kenge mkija Anfield na Onana tusilaumiane.
wew mwenyewe bado una Timu mbovu ni vile umemkuta united ni mbovu zaidi utaishia kugombea Top four tu kama unataka ubigwa una safari ndefu sanaMsikimbie jukwaa lenu. Tafuta center forward kama Jesus, a composed guy
Mpira umekuwa reflected kwa John Evance. Goli la 1 na 2 ni makosa ya Dm kuchelewa kureact kuwa anchormen ili mpira ukipigwa uwagonge wao. Hakuna kosa la Onana hapoKwa hii style yake ya udakaji. Premier league strikers wata mla mchana kweupe
Huu mpira wa ujanja ujanja tutacheza Hadi lini kocha wangu?kila big mechi sisi kubana mbupu tu aaah siku hizi hata na Timu ndogo.


nikiongea Mimi wanasema na chukiTimu mbovu ,wakati muda wote tunawapumulia tuwew mwenyewe bado una Timu mbovu ni vile umemkuta united ni mbovu zaidi utaishia kugombea Top four tu kama unataka ubigwa una safari ndefu sana
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Mkuu Hakuna kocha hapo anasubiri form ya Rashford tu appate magolihivi Ten Hag aina yake ya uchezaji msimu huu ni upi? maana mimi naona counter attacks kama OGS
Team imecheza vizuri leo hongera kwa kocha na wachezaji.Arsenal wameshinda lakini hawana furaha walitegemea tung'ekua wanyongeTumepoteza mechi kwa uzembe wa wachezaji wachache tu hasa por marking ua beki zetu, ila kiufupi kocha hawezi kupewa lawama maana hakukuwa na option ya Erksen nje, leo huyu bwana katugharimu maana alichoka sana, pia wadau leo mtakubaliana na mimi Antony akifanyiwa sub huwa tunapata majanga sana.
Nilichokifurahia ni hatari ya timu yetu waliyopeleka kule mbele baada ya Hodjlund kuingia naamini baada ya international break tutaiona utd ya tofauti kabsa