Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,304
- 46,774
Sasa embu niambie Martial anacheza nini humo ndani..Mkuu unapenda malalamiko hivi kikosi Cha sub ukioni ukimtoa ericksen acheze Nani pale?
Tia our new boy Rasmus.
Sasa embu niambie Martial anacheza nini humo ndani..Mkuu unapenda malalamiko hivi kikosi Cha sub ukioni ukimtoa ericksen acheze Nani pale?
Kabisa kafanya kosa la kijinga sana huyu mzee.Eriksen in 45 seconds showed both his strengths and weaknesses. Superb ball to Rashford, absolutely no awareness defensively to stop Odegaard.
Vipi mjombaWaache waendelee kumiliki mpira si tunafunga tu

Jamaa ni majerui bado usishangae kacheza dk 10 tu au asicheze kabisa.Sasa embu niambie Martial anacheza nini humo ndani..
Tia our new boy Rasmus.
Mbona Anthony namuona kacheza poa.Leo kidogo nimeangalia mpira wa kueleweka.
Ila Antony anatuchelewesha sana. Hapo tu ndiyo nnapomuona Ten Hag ni fala. Toa uchafu huo weka watu watakaotusaidia.
Nilifikiri ni mimi pekee nimeona.Mpira umepelekwa pembeni kabisa Kipa hana lawama.Lile goli anafungwa kipa yeyote yule pass kama ile ikishakubali
Ila so far kipa mbna amecheza vzuri tu
Mbona Anthony namuona kacheza poa.
Nachoona tunakosa mtu wa kuchukua mpira nyuma na kutembea nao kwenda mbele ndo mana tunapata tabu sana kupita kati, ukiangalia kipa wa arsenal kama karelax sanaa.
Martial aaah sitaki hata kumuongelea siku hizi tusubiri miujiza tu juu yake.

Kwa kiwango chake cha kila siku leo unaweza kusema kajitahidi lakini hakuna cha maana anachofanya. Ndiyo mchezaji anaongoza kuzima mashambulizi yetu.Mbona Anthony namuona kacheza poa.
Baada ya kumkosa De Jong tungemchukua Timber. Tusubiri next transfer window tunaweza kupata mtu wa hiyo kazi.Nachoona tunakosa mtu wa kuchukua mpira nyuma na kutembea nao kwenda mbele ndo mana tunapata tabu sana kupita kati, ukiangalia kipa wa arsenal kama karelax sanaa.
Martial aaah sitaki hata kumuongelea siku hizi tusubiri miujiza tu juu yake.