msimu ujaoNyie kenge mkija Anfield na Onana tusilaumiane.
Hawa manaweza kupiga hata goli 7Nyie kenge mkija Anfield na Onana tusilaumiane.
wew mwenyewe bado una Timu mbovu ni vile umemkuta united ni mbovu zaidi utaishia kugombea Top four tu kama unataka ubigwa una safari ndefu sanaMsikimbie jukwaa lenu. Tafuta center forward kama Jesus, a composed guy
Mpira umekuwa reflected kwa John Evance. Goli la 1 na 2 ni makosa ya Dm kuchelewa kureact kuwa anchormen ili mpira ukipigwa uwagonge wao. Hakuna kosa la Onana hapoKwa hii style yake ya udakaji. Premier league strikers wata mla mchana kweupe
Huu mpira wa ujanja ujanja tutacheza Hadi lini kocha wangu?kila big mechi sisi kubana mbupu tu aaah siku hizi hata na Timu ndogo.
Timu mbovu ,wakati muda wote tunawapumulia tuwew mwenyewe bado una Timu mbovu ni vile umemkuta united ni mbovu zaidi utaishia kugombea Top four tu kama unataka ubigwa una safari ndefu sana
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Mkuu Hakuna kocha hapo anasubiri form ya Rashford tu appate magolihivi Ten Hag aina yake ya uchezaji msimu huu ni upi? maana mimi naona counter attacks kama OGS
Team imecheza vizuri leo hongera kwa kocha na wachezaji.Arsenal wameshinda lakini hawana furaha walitegemea tung'ekua wanyongeTumepoteza mechi kwa uzembe wa wachezaji wachache tu hasa por marking ua beki zetu, ila kiufupi kocha hawezi kupewa lawama maana hakukuwa na option ya Erksen nje, leo huyu bwana katugharimu maana alichoka sana, pia wadau leo mtakubaliana na mimi Antony akifanyiwa sub huwa tunapata majanga sana.
Nilichokifurahia ni hatari ya timu yetu waliyopeleka kule mbele baada ya Hodjlund kuingia naamini baada ya international break tutaiona utd ya tofauti kabsa
Cheshii tuna laana za Tajiri Abrahamovich kuiacha klabu kishingo upande kwa sababu za kiusalama baina ya UK na RUSSIA, Man Utd mna laana na nani?second season syndrome inaendelea..
what next?
Kweli we dunga,,Kipa anagusa mpira mara nyingi kuliko striker, hakuna kocha hapo.
Umenikumbusha Cheshii alivyokuwa akinyanyaswa na Refa Web lazima tu The Blues tupasuke hata kama hatupendiSub zimetuumiza izi na refa likipara lile likichezesha mechi lazima tufungwe.
Man Utd hawana wachezaji, Cheshii haina Kocha, yani ngoma ni droo au;Hii timu ya hovyo mbovu sanaaaa.
Haipo kishindani wala hakuna jipya kwa Man u zama hizi
kwahyo wew unavyoitazama timu yako unaona Kuna dalili hata za kubeba ubigwa huna timu ya kuweza kuvuka zaidi ya pointi 85Timu mbovu ,wakati muda wote tunawapumulia tu
Niliuliza humu mtaweza kuzuia msako wa nyani
Sikupata jibu