verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
Ukuta wa Berlin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe piga porojo zako tu humu ila mwenyewe unajua zimebaki siku 2 tu ujipige ban mwenyewe.Nasema hivi kuanzia jumapili nalitaka hili jukwaa
Nendeni kwa mwamposa labda atawaepusha na kipigo View attachment 2735305
Erik Seven HagMount nani aliependekeza asajiliwe?
Ona sasa Sasa wanamleta Amrabat akati Mount,eriksen,Mctominay,mainoo wapo hii inakuaje?
Hangaikeni tu na iyo biashara ya money laundering chini ya seven hug jasusi la kidutch, ila jumapili mpo magetoni kwa wanaumeIt's Sofyan Amrabat day [emoji836][emoji91][emoji91][emoji91]
Dirisha linafungwa leo tuone hii timu itafanya nini leo.
Rashford akiona hii picha anacheka sana.Hangaikeni tu na iyo biashara ya money laundering chini ya seven hug jasusi la kidutch, ila jumapili mpo magetoni kwa wanaumeView attachment 2735366
Rashid huyu huyu ambae upepo wa kubahatisha umekata au mwingine?Rashford akiona hii picha anacheka sana.
Kama kawaida ujinga wa pasi kumi hatuna, pasi tatu maximum rasmdale analoweshwa
Kule the Gunner Sasa hivi tunaongea lugha mojaKwenu kule mbna hamtoi support kwa nabii wenu[emoji2]mmekataa shetani na kazi zake zote
Kuna ngoma inaitwa amefia gheto [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Track: Ghetto langu
Artist: NgwairView attachment 2735350
Inaonekana mpira unaangalia kwenye comment za jf..Rashid huyu huyu ambae upepo wa kubahatisha umekata au mwingine?View attachment 2735376
Umeelewa ulicho-quote?Inaonekana mpira unaangalia kwenye comment za jf..
Chidi kawapiga goli 3 game mbili za mwisho, kama una akili timamu inatakiwa uogope.
Wameyakanyaga hawa nyumbuKuna ngoma inaitwa amefia gheto [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Rashford yupi upepo umekata?? Unaangalia mechi kweli?Umeelewa ulicho-quote?
Huyo ni backup GK namba 1 atabaki Onana punguza ujuaji kumbe ni ushamba tuNawapongezeni sana kwa kusajili goli kipa. Nadhani mmefata ushauri wangu niliwaambia Onana sio kipa wa kuja nae Anfield maana ni pazia. At least huyu mliosajili anajitahidi.
Hakuna mchezaji hapo kasharud default settingsInaonekana mpira unaangalia kwenye comment za jf..
Chidi kawapiga goli 3 game mbili za mwisho, kama una akili timamu inatakiwa uogope.
Mimi Ni Jeshi halafu muhuni ,pastor ,mwisho mchambuzi nguli niliyebobea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe piga porojo zako tu humu ila mwenyewe unajua zimebaki siku 2 tu ujipige ban mwenyewe.
Hio jumapili tukiwafunga Mc Masingeli utapigwa mande na sisi pamoja na mashabiki wenzako wa Arsenyau aliochoka na hiyo mipasho yako ya taarabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waambie hao7hag anaingia kwenye list ya makocha wa mchongo niliowahi waona
Sajili za kubahatisha
No playing style installed
No proper tactics
Anajifanya ana maamuzi magumu ,kumbe tapeli
View attachment 2735477