Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kinacho mtesa hamis77 ni ichi kipigo.

Kwaiyo ana uchungu Sana akifikiria Sijui kitarudi lini anakosa Nguvu Kwaiyo anaji fariji kwa kuja kupiga kelele tu hapa ujiulizi kwanini kakomalia hapa ni ichi kipigo kilimtoa akili Mpaka leo ayupo sawaView attachment 2735025
Amelifanya Kama jukwaa lake, hoja zake mmeshindwa kuzipangua
Hamis77 muelewa Sana, mkae nchini myamalize. Hili jukwaa mtalikimbia wote humu
 
Imagine deadline day ndio tunajitafuta kumnasa Amrabat tena tunaomba watukopeshe!
Mie naona uko UCL huwa tunapalilia tu lakini hatuna ubavu wa kushindana bali tunaenda kumjaza Glazers mapesa tu. Ni heri tutolewe mapema tukose wote na wamiliki.
 
Hapa naona bado Amrabat tu tufunge dirisha.
Screenshot_20230831-213720.jpg
 
Imagine deadline day ndio tunajitafuta kumnasa Amrabat tena tunaomba watukopeshe!
Mie naona uko UCL huwa tunapalilia tu lakini hatuna ubavu wa kushindana bali tunaenda kumjaza Glazers mapesa tu. Ni heri tutolewe mapema tukose wote na wamiliki.
Bado hamjasema

hamis77 nyumbu washaanza kuelewa SoMo huku
 
Huyu kipara ndezi (Ten Hag) naanza kupata mashaka naye kwa hizi sajili za kipuuzi.

Tumetumia zaidi ya £180m kusajili overpriced players wakati timu inahitaji maboresho ya mengi. Matokeo yake FFP na injuries zinatulazimu kuanza kutafuta flops.
 
Imagine deadline day ndio tunajitafuta kumnasa Amrabat tena tunaomba watukopeshe!
Mie naona uko UCL huwa tunapalilia tu lakini hatuna ubavu wa kushindana bali tunaenda kumjaza Glazers mapesa tu. Ni heri tutolewe mapema tukose wote na wamiliki.
Ucl tutafika mbali mark my words Round 16 to Quarter final hapo ndo moto utakapowaka

Kuna deadline deals 2-3 zitatimia at end of the transfer market ijumaa tukianza na huyo Sergio rugillion then ambrat kiraka
 
Ten Hag ni fala sana badala ya kutumia £65m kwa Mount angemsajili Amrabat. Sasa ameshtuka double 8s inafanya timu inakuwa exposed tayari kumekucha.

Scouts wetu nao walivyo wapuuzi wachezaji kama N. Jackson hawawaoni tumeenda kupigwa £70m.

£47m yote imeenda kwa kipa wakati tulikuwa na De Gea, Henderson, Kovar. Wote hao hawafai kwa kipindi cha mpito, sasa kwa uchezaji wetu Onana hatatusaidia ipasavyo.
 
Huyu kipara ndezi (Ten Hag) naanza kupata mashaka naye kwa hizi sajili za kipuuzi.

Tumetumia zaidi ya £180m kusajili overpriced players wakati timu inahitaji maboresho ya mengi. Matokeo yake FFP na injuries zinatulazimu kuanza kutafuta flops.
Ndio mpira mkuu hawa hawa wanaotuponda humu na kutuombea njaa watatukuta tuna ka kombe mwisho wa msimu afu wao watakula chaka warudi wakiwa wameshinda aerials duel 1v1 most xG tactical overload cup na loser medall

Man utd round 16 lazima mkubwa ni mkubwa tu askuambie mtu
 
Ten Hag ni fala sana badala ya kutumia £65m kwa Mount angemsajili Amrabat. Sasa ameshtuka double 8s inafanya timu inakuwa exposed tayari kumekucha.

Scouts wetu nao walivyo wapuuzi wachezaji kama N. Jackson hawawaoni tumeenda kupigwa £70m.

£47m yote imeenda kwa kipa wakati tulikuwa na De Gea, Henderson, Kovar. Wote hao hawafai kwa kipindi cha mpito, sasa kwa uchezaji wetu Onana hatatusaidia ipasavyo.
Ambrat anakuja kwa loan option to buy hivo ndivo Florentina walivo sisitiza ili deal likamilike sababu ya FFP rules

Shida yetu man utd kwa sasa ni beki ndo hamna
 
Dah Rio ametutukana ila kasema ukweli ,

Rio Ferdinand kuhusu #Arsenal:

“Ninaangalia mashabiki wao, Wana mambo mengi. Wanaenda hovyo.

"Havertz nje, meneja hajui anachofanya, anahangaika na timu sana, Partey anacheza beki wa kulia, Trossard akiingia haji na kufanya kazi yake.

“Eddie Nketiah tunamtaka atoke...

Nyinyi(mashabiki wa Arsenal) mko kila mahali. Sielewi, mara Havertz. Ninaelewa hajapiga hatua bado, kama Mason Mount pale Manchester United.

"Jinsi nyinyi mlivyo 'mtoe nje. Hapaswi kuwa hapa’. Nazungumzia fanbase hii siielewi. Ikiwa ni mechi 10-15, ningeweza kuona wanachosema kina mantiki.

Ni michezo mitatu tu ,

Watu wanahitaji muda .”
Akija huku anasema mount tumepigwa😃
 
Manchester United's defence

#𝐃𝐫𝐘𝐉𝐨𝐤𝐞
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230901_010036_021.jpg
 
Back
Top Bottom