Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu Barcola a Gem naona PSG kila akiulizia anakula za uso. Ila Diomande should be our Priority.
Barcola Mtu na Nusu na PSG wanaona anaeza kuwa Mbadala wa Kylian, anaweza asiwe na Uwezo wa Mbappe ila Ni mtu haswa!

Diomande CB kweli kweli changamoto ni Mwafrika nina wasi wasi sana na Umri wake, Jamaa ana Maturity kubwa sana to be 19yrs na kibaya zaidi soka kaanzia Africa kabisa, bora hata angezaliwa Europe wawe na zile taarifa sahihi. {Ishu ya Umri naona ni Concern kwa sababu angalia Bailly, Koulibaly, wangekuwa Elites CB's sana toka Africa ila injury zisoisha naonaga Umri halisi unakuwa unafanya kazi. Silva angekuwa chaguo langu but tunahitaji Depth tukiweza beba wote.
Xabi Alonso
Thiago motta
Amorin

Kitu Kizuri na-Appreciate kuhusu hili jukwaa tofauti na Majukwaa Mengine ya Timu ni kwamba Huku watu wengi wanaangalia MPIRA Badala ya kuangalia TIMU! Respect sana kwako Gwiji! Hao makocha umetaja litakuja kuwa tatizo jipya karibuni tu! Ila katika List naweza Add Marcelo Gallardo {Huyu ndo kawatengeneza Enzo Fernandez na Julian Alvarez} Andoni Iraola {Last Season kasumbua Sana Real na Barca akiwa na Rayo Vallecano yake, Bournemouth anaeza akawa na Suprize nyingi season hii kwa sababu ya huyu Jamaa} Simone Inzaghi ni Wildcard Pia.
 
Watu tunaendelea kujipa moyo ila tambueni kuwa ten Hag hatatufikisha kwenye summit.

Usajili wa kijinga na system isioleweka.

Huyu hata tumpe bilioni 2, atacheza mpira kama wa burnley kwa maana ndio wa level wake.
 
Back
Top Bottom