trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 764
- 1,414
Hapa jukwaani wala hakuna anayefanya uchambuzi.
Football analysis siyo maandishi, hapa wengi wanaandika facts. Antony ni kiazi tu, hatukatai anayo potential ya kuwa mchezaji mzuri ila huu muda anaopewa unaigharimu timu yetu.
Rashford hata kama anafanya vibaya huwezi kumuweka bench kirahisi, LW hatuna options za kutosha. Garnacho bado ni raw talent sana.
Ukitaka kujua Ten Hag ni fala yupo radhi Fernandes acheze RW ila siyo Sancho au Pellistri waanze. Kama mnamsifia Antony ana work-rate kubwa basi bado hamjamuona Pellistri (talent + work-rate)
Ten Hag kiburi chake kitamfikisha pabaya!
YANI pellistri amuweke nje antony??
️ : Eriksen
: Rashford