D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Jarod bowen, what a touch
What a goal
What a goal
Soka lina maajabu hawa jamaa wana kichaa ila nikashangaa siku inapigwa 5 na Everton halafu nyumbani.Brighton anapigwa goli la 2 uwanjani pake.
Mpira ameachiwa yeye acheze
Anaingia joao pedro
Nasikia tuliweka a significant sell on clauseMatej kovar ndiye kipa namba 1 wa bayer leverkusen
Yupo nje ya uwanja kwa majeraha mpaka Septemba.Kwan Mount leo hajacheza?
Similar profile na ETH tofauti ni experience tu.Xabi Alonso
Thiago motta
Amorin
Kufungwa kawaida hata Klopp the master sometimes huwa anaingia kwenye 18 za watuKuna mchambuzi uchwara humu hua anapiga kelele sana de zerbi de zerbi
Hehehe hii ni EPL
huyu jamaa alikuwaga beki mbili lakini kahamia namba 9 na anacheza vizuri kuliko Antony MartialAntonio anapiga msumari wa 3.
Huyu jamaa anayevaa jezi namba 4 wa brighton hatousahau usiku wa leo.
Antonio anamtesa sana
Lazima Elanga aonekane yupo fit physically huenda ndio mambo ya miundombinu aliyozungumziaga RonaldoKuna mtu alinotice game ya leo Elanga alionekana kuwa fit na physically kuliko alipokua Man U.
Ila Dalot ni takataka asee, tushukuru tuna Wan Bissaka, kuna move kama mbili aliua za thorough passes.
Alafu eti Dalot anapewa mkataba Wan Bissaka anazungushwa.
Mechi ijayo litimu hili lipigwe tena. Nitarudisha passion siku Glazer na wajinga wajinga wakisepa.
Hawa wenzangu wanaoogopa kuliangalia chama dawa ni moja shangilia mpinzani akilitandika I promise halitakupa stress sana.
Leo kuna watu walinishangaa bila shaka kushangilia magoli ya Nottingham.
Sasa nifanyeje?
Bila Kuwasahau Newcastle jitu kama Joelinton, Wilson, Dany Burn yaani mijitu ya kuforce kona inaingia, Brighton kuna Wellbeck akiwa kwetu alikua mwembamba kuna Dunk,Timu za wenzetu wanafanya mazoezi gani, Wolves unakuta mijemba imepanda kweli kweli ina nguvu, Fulham kuna mijitu vile vile ile dk ya 90 Adama alipepea weee mpaka golini jitu kweli kweli, Njoo Nottingham mbele kuna Jitu Awoniyi, Bolly, Worall, asee. Yaani timu yetu tu ndio unaona kama hawali vile wala hawa nguvu.
Shida nini? Alafu mijitu inalipwa pesa neefu?