Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watu tunaendelea kujipa moyo ila tambueni kuwa ten Hag hatatufikisha kwenye summit.

Usajili wa kijinga na system isioleweka.

Huyu hata tumpe bilioni 2, atacheza mpira kama wa burnley kwa maana ndio wa level wake.
 
Wanangu wa manyumbu fc wiki ijayo mnakuja emirates.

Nawakumbusha tu msijifariji na ushindi huu wa papatu mkajisahau.

Arteta amechukia kakosa point 3 jana asira zake Atawamalizia nyie na kipa wenu huyo shati.
 
Mchezaji wenu
georgeambangile_20230827_1.jpg
 
Bila Kuwasahau Newcastle jitu kama Joelinton, Wilson, Dany Burn yaani mijitu ya kuforce kona inaingia, Brighton kuna Wellbeck akiwa kwetu alikua mwembamba kuna Dunk,

Aston Villa kuna vijitu ila vimekomaa na majitu kweli kweli Watkins, Mings, Khonsa, House. Namkubali Watkin dogo mkatili ana nguvu mpaka ya shuti sifa za strikers.

Njoo Tottenham aliyetuadhibu ni Sarr ni dogo ila amepanda intensity kila sehemu

Arsenal ndio wako kama sisi ila kidogo wanatuzidi intensity.


Palace nayo ina mijitu Schlupp, Guehi, Edouard.


Litimu langu, Unaona kabisa kama hawali vile mwangalie Varane, Martinez, Dalot, Wan Bissaka, Mount, Ericksen, Mbele Martial, Bruno, Gernacho unajiuliza wananyanyua nondo kweli.
SI ukashabikie hizo tim unakatazwa nini


Hizo timu zote unazosifia msimu umeisha hazijafika kokote hata kikombe kimoja.


Najua yanayoendelea kwenye club yangu Manchester ila sitaweza kufikia huu upuuzi wako.
 
SI ukashabikie hizo tim unakatazwa nini


Hizo timu zote unazosifia msimu umeisha hazijafika kokote hata kikombe kimoja.


Najua yanayoendelea kwenye club yangu Manchester ila sitaweza kufikia huu upuuzi wako.
Sawa mzee
 
Ukweli ni kwamba man u mnabebwa sana marefa yaani mechi zenu kuna kakituko lazima katokee alafu refa anaweka maamuzi ya hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom