Pengobovu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 482
- 546
Well. Umeelezea vizuri.Halikuwa kosa hata kidogo kumuacha, kosa lipo kwenye gharama tulizotumia kuziba nafasi yake.
Ni sawa soko la usajili limebadilika ila brighton wamepata kipa kwa paundi millioni 20.
Kipa ambaye hata sisi tulimgombania na ndiye kipa wao namba 1.
Hatuchezi possession based kama barcelona au man city hivyo golikipa anayemzidi de gea kwa footwork kidogo tu angelitufaa.
Onana ni kipa mzuri tuliyekuwa hatuna ulazima nae kwa mujibu wa hizi mechi 3 nilivyoziangalia.
Style yetu ya kiuchezaji ndio ile ile
Ubaya Ten Hag anatakaga watu ambao mara nyingi amewahi fanya nao kazi.
Mfano huyu Rumoured GK anaetakiwa (Bundyr) kuja kua competition wa Onana for €5-7m aliwahi kua target wa Ajax wakati Ten Hag yupo kule.