Glazers puppet wapi?
Unadhani kuna kocha anayeweza kuasi dhidi ya Wamiliki waliomuajiri?
Au unataka nae atembeze bango la Glazers out?
Kama hivyo basi makocha wote waliopita waljkuwa ni puppets pia.
Wa kuwaondoa hao jamaa sio kocha ni mashabiki wa UK na protests za nguvu,mlaumu kocha sehemu zote ila kuhusu uwepo wa Glazers unamuonea tu
Kuhusu kumfurusha CR7 ndio biggest thing aliyofanya tangu atue nampa tano,aliwambia nani Weghorst alikuja kuziba pengo la CR7?
Ni majeraha ya Martial ndio yalifanya Weghorst aletwe kwa mkopo wa muda mfupi,mkopo wa miezi 6 tu unalialia je angesajiliwa permanent je.
ETH angepewa hela ya kusajili striker unadhani angemleta huyo jamaa?