Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Hata Rashford leo amekuwa takataka?
 
Tatizo kocha nae ananunua takataka kama akina Anthony. Mpaka kuja kununua wachezaji hasa na kuondoa takataka zilizokuwepo kama akina Rashford itachukua muda
Kbs yan hawa kikosi chao hiki wakileta mzaha hata top 4 kuzama itakua heka heka.

Wanakikosi ordinary sana na hahitaji miracles kuona kua wata struggle sana msimu huu.
 
Umetolea mfano WA ajabu sana....Argentina ile ilikuwa na watu wa kazi....hii Man U unaona mtu wa kazi nani...ni kama walikusanyana nusu saa kabla ya mechi wakagawana jezi wakaingia uwanjani kucheza.....wapowapo tu...inasikitisha kwakwli
[emoji23][emoji23]Dah
 
December kwa combination hii ya casemiro na mount ,mkuu au unasubiria miujiza ,hiyo combination haiwez ku work ikikutana na viungo wajuaji
Inaonesga mpira hauufahamu vizuri, lipi kosa la Moynt na Casemiro kwenye hii mechi, kosa lipo iwa safu ya ushambuliaji hasa Rashford yaani huyu jamaa ni tia maji tia maji tu na ndio maana kila mchezaji akicheza naye araonekana mbaya the same na Maguire.
 
Huu ndo ukweli mount wanamlaumu bure
 
Ujuaji wenu unanifurahishaga Sana ,narudia combination ya Bruno casemiro na mount haiwez kufanya Kaz mkikutana na viungo na mifumo yakueleweka ,tuliona vs Wolves mlivyonyanyasika na hao wolves wameondokewa na wachezaji wengi, plus kocha wao alikuwa na wiki 1 tu .

Kiungo Chenu hakina Controller wa mchezo, hakina DM passer wakusaidia buildup ,angalau mwaka Jana alikuwepo mechi nyingi Eriksen ni mzuri kwa pass alikuwa msaada kuchukua mipira chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…