mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,678
- 19,488
Tatizo Omama ni kiberiti, any time anachoma nyumbaNi muda wa Arsenyani wote kumuomba msamaha Onana.
Tatizo Omama ni kiberiti, any time anachoma nyumbaNi muda wa Arsenyani wote kumuomba msamaha Onana.
Pamoja na yote ila Rashidi tokea msimu uanze anacheza kifaza sana.Toa garnacho ingiza martial japo ni taka taka hafu Rashford aende kwenye namba yake 9 ni kumuonea tu.
Rashford kumchezesha 9 uwezi kuisha kumlaumu uyo asili ni winga.Kuna kijana anavaa jezi namba 10, tokea apewe mkataba mpya amerudi kwenye default settings.
Huyu kijana ana chembe chembe za utapeli ila bado makocha hawajamuelewa.
Huyu Mount alishindwa kule Chelsea, hivi ni nani alimoendekeza aje huku kwetu?
Bado hajakutana na kashkash ,subiri kuanzia GW4 hiviNi muda wa Arsenyani wote kumuomba msamaha Onana.
Nyie utamaduni wenu upi ikiwa spurz anawakimbiza muda wotePamoja na yote ila Rashidi tokea msimu uanze anacheza kifaza sana.
Haya mambo ya attemps 35, touch in opp box 85 halafu goli 0 tuwaachie Arsenal huu unaofanyika sio utamaduni wetu.
Leo kakutana nazo za moto nilikuwa na wasiwasi naye ila anajitahidi sana. Leo amefanya kila kitu 100%Bado hajakutana na kashkash ,subiri kuanzia GW4 hivi
Hii front 3 haitatupa cha maana. Rashford anapoteza sana mipira na nafasi za kufunga.
Ningekuwa kocha Garnacho, Rashford & Antony hawarudi 2nd half.
Toa Rashford weka Bruno false 9, Sancho LW, Pellistri RW & Eriksen #10.
Bruno anapiga mpaka Rabona halafu kuna kiazi kinakosa na ndiyo striker.
Leo ndio mnalijua Hilo, mech ya kwanza ilitosha kujua mmetapeliwaAntony ni level ya akina Wigan
Erik 7 hag Hana Talent ID, anasajili kwa connection tuUsajili wa Mount mimi ulinishangaza sana, sijui kocha aliona nini kwake.
Pellistri namkubali kwasababu ya work-rate yake halafu ana akili ya mpira kushinda Antony.Pellistri Hapana mda wake dakika za 85 uko bora uyo uyo antony