Unafki tuweke pembeni hii first half nyumbu mmeubonda mwingi sana
Sio nyumbu aliyecheza na WolverhamptonHapana
Huyu Mount alishindwa kule Chelsea, hivi ni nani alimoendekeza aje huku kwetu?Kocha mjinga sana garnacho anafaa aanzie nje na hili garasa tulilookota chelsea halifai kuanza
Tatizo Omama ni kiberiti, any time anachoma nyumbaNi muda wa Arsenyani wote kumuomba msamaha Onana.
Pamoja na yote ila Rashidi tokea msimu uanze anacheza kifaza sana.Toa garnacho ingiza martial japo ni taka taka hafu Rashford aende kwenye namba yake 9 ni kumuonea tu.
Rashford kumchezesha 9 uwezi kuisha kumlaumu uyo asili ni winga.Kuna kijana anavaa jezi namba 10, tokea apewe mkataba mpya amerudi kwenye default settings.
Huyu kijana ana chembe chembe za utapeli ila bado makocha hawajamuelewa.