Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji23][emoji23][emoji23] sisi tulijua mnatuuzia Mount kumbe mmetuuzia Mauti umbwa nyie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kwani tuliwashikia bastola umnunue Mount.
Scout yenu bora na Bodi walijiridhisha bila shaka yoyote mnanunua silaha kali maangamizi.
Iweje leo mseme tumewachanganyia gunzi kwenye betri zenu?
Malalamiko yote haya mnakwepa kutuongezea pesa kidogo. Acheni ubahili