Man u siyo Brighton, De Zerbi ana ka upepo ambako alikuwa nako Graham Porter pale Brighton. Alishashusha timu daraja huyu hafaiMsimpate asee,huyo mwamba anajua Sana ,an
Man u siyo Brighton, De Zerbi ana ka upepo ambako alikuwa nako Graham Porter pale Brighton. Alishashusha timu daraja huyu hafaiMsimpate asee,huyo mwamba anajua Sana ,an
Humjui Di zerbi, usimfananishe na Potter ,hachezi kwa upepoMan u siyo Brighton, De Zerbi ana ka upepo ambako alikuwa nako Graham Porter pale Brighton. Alishashusha timu daraja huyu hafai
Ngoja nicheke.Humjui Di zerbi, usimfananishe na Potter ,hachezi kwa upepo
Timu letu linacheza hovyo kuanzia kwenye midfield huko.mbele ndiyo hivyo zaidiCasemiro kachoka sana nadhani muda wa kula pensheni umefika.
Rashford punda sana anacheza kifaza sana ,washambuliaji wetu hovyo sijui tutafikaje September bila namba 9 katili,hapa wakachukue cheap options kama Mehdi Taremi tu.
Kupigwa msako kawaida ila huwa tunafanyiwa hivi tukiwa tunaongoza kwa tofauti ya goli 1 inatakiwa washambuliaji wabadilike tukiwa tunaongoza hata 3 hatuwezi kukutana na hizi shuruba za stoppage time kwa sababu tunakuwa hatuna presha.
Sajili 3 hazitoshi hapa naona usajili ni wa kipa tu hizo nyingine pata potea
Hakuna namba sita atacheza na Attacking midfielder wawili akaonekana.. angalia baada ya kuingia ericksen kidogo alituliaJana nimeingalia man utd yangu mpaka naona huruma, wachezaji very weak, hamna kujituma, no chemistry cjui uwanja wa mazoezi wanafundishwa nini aisee, fitnes zero, Wolves ilikua timu bora ktk nyanja zote uwanjani,
Yaani endapo tungeanza na man city ile jana zilikua 8 ashukuriwe mwenyenzi Mungu tu
Casamiro ndio nin unatufanyia!
Timu inapoteza mipira ovyo, kutengeneza shambulizi la kieleweka ni shida, yaani tunacheza kama ndondo cup la kina shafidauda
Yule Mount ETH kaona nini kwake???? Maana nikae kimya tu, mim sio muumini wa watoto wa kingereza kabsa, wanakuzwa na media zao tu
Msimu wa stress kama kawaida yetu
Msimu huu Simba Sc ndio imebeba furaha yangu, mwenyenzi Mungu ibariki Simba lunyasi
Hii timu itafiku,isha makocha wengi sanaJana nimeingalia man utd yangu mpaka naona huruma, wachezaji very weak, hamna kujituma, no chemistry cjui uwanja wa mazoezi wanafundishwa nini aisee, fitnes zero, Wolves ilikua timu bora ktk nyanja zote uwanjani,
Yaani endapo tungeanza na man city ile jana zilikua 8 ashukuriwe mwenyenzi Mungu tu
Casamiro ndio nin unatufanyia!
Timu inapoteza mipira ovyo, kutengeneza shambulizi la kieleweka ni shida, yaani tunacheza kama ndondo cup la kina shafidauda
Yule Mount ETH kaona nini kwake???? Maana nikae kimya tu, mim sio muumini wa watoto wa kingereza kabsa, wanakuzwa na media zao tu
Msimu wa stress kama kawaida yetu
Msimu huu Simba Sc ndio imebeba furaha yangu, mwenyenzi Mungu ibariki Simba lunyasi
Hivi Antony hata kuna chance alicreate? Aisee ule upande kwa namna yoyote Greenwood arudi, na ni bahati AWB alianza, wangekutana Dalot na Antony ingekuwa balaaAmrabat aje tuu mount sio wa kuanza na Bruno tutakufa nyingi siku moja
Pia greenwood aludishwe otherwise huu msimu tutakutana na kitu kizito
Di zerbi ni kocha ambaye hata Pep anamuogopa kimbinuNgoja nicheke.
Njooni mbebe takataka yenu kenge nyie.Wazee tuongezeeni hata pesa kidogo kwa MOUNT, acheni ubahili.
Msimpate asee,huyo mwamba anajua Sana ,

ila akija Man Utd lazima utampondea, Masingeli una maana basi wewe

Ten Hag anawafaa sana...ila kusajili hajui😅😅😅ila akija Man Utd lazima utampondea, Masingeli una maana basi wewe
![]()

Mi nafurahi nikiwaona Arsenyau humu kwenye jukwaa la wanaume, jifunzeni humu namna watu walivyo huru (free-minded) kujadili timu yao.Ten Hag anawafaa sana...ila kusajili hajui![]()