Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baba ubaya alivyohojiwa jana na waandishi wa habari juu ya kiwango cha Mount.

Ten Hag kuhusu Mason Mount

"Amecheza vizuri. Alifanya kile tulichotarajia akifanye. Alikuwa na kiwango kizuri sana kwenye mchezo."
😅😅😅😅...mashabiki mnajifanya mnajua sana kuliko kocha....alichofanya ndo alichotumwa kukifanya na kocha....mpeni nafasi msela....mfumo ukimkubali mtaelewa ten Hag alichokiona kwake mpk akamnunua
 
Tunakuwaga na mechi ngumu sana tunapokutana na wolves lakini kwa jana tulichemka vibaya mno.

Uzuri dirisha linafungwa mwezi ujao nafasi tunayo.

hafu hawa wapumbavu wamludishe Mason haraka waache ma ujinga yao shenzi.

Rashford kumchezesha striker ni kumuonea tu,Sancho Jana nimeona ana kitu msimu huu tumuangalie kwa jicho la tofauti.

Uzuri mashabiki wa man u timu yetu ikizingua uwaga hatufichi tunachana wazi.View attachment 2717896
Kwa performance ile ya Jana mmfiche Nini, mmcheza na wolves kocha wao ana wiki moja tu
 
huna maana kabisa wewe, ulikua unatupondea De gea wetu mpaka ukafanya baadhi ya watu nao wakawa wanamtolea shombo humu, eti baada ya kuondoka ukawa unajifanya kutusikitikia kua tumepoteza bonge la kipa
Amekuja midfilder goal keeper (MG) nae eti ukaanza kuleta maneno yako ya kwenye kanga Arseyau we
De gea mmoja ni sawa na Onana kumi...mnabisha mtaona wiki ijayo na Spurs....
 
Wewe hata huoni maandishi yake, muda wote ni man utd.

Huo ni upendo aliorothishwa na mzee wake....
Mzee khalfani joseph
Kweli kabisa mkuu, leo ndio umenisanua nilikua silijui hilo.
Mzee wake itakua aliwawekea ratiba kabisa home kwao siku Man Utd ikishinda kesho yake wanakula wali kuku.
Kwa namna hio Masingeli lazima tu aipende Utd, hata kwenye betting hua Man Utd anaiwekea steki kubwa.
 
sio uchochezi Mkuu, kule kwenu mmemgeuza Mc Masingeli kua ndio Alfa na Omega
Kule mtu haruhusiwi kumpinga Masingeli wala Masterclass, ukitaka ulione jukwaa chungu we nenda toe to toe na Masingile uone misukule itakavyo kushambulia.
Masingeli sasa hivi ameshakua nae dikteta uchwara anapiga marufuku mpaka watu wasimqoute
Jana man u imeshinda ila mashabiki wake hawana furaha na hili tatizo nililiona juzi kwenye matokeo ya game ya arsenal na norttingam forest.

Ushauri.
Kwanza mashabiki tuache kwenda uwanjani na matokeo yetu na pia tuache kwenda uwanjani na performance zetu tunazozitarajia.
Tukiweka ushabiki pembeni kwa epl tofauti kati ya timu zinazoitwa big 6 na zinazoitwa midtable timu ni SPENDING na LUXURIES.

Tukija kwa upande wa soka lenyewe on pitch the difference is narrow than you can imagine. Big 6 team wanajua kuspend big money ili kupata quality wakati hizo tunazoziita midtable team zinajua kufanya proper scouting ya kupata talents kwa affordable price.Ukija uwanjani unakutana na mchezaji wa bei ya kawaida wakati ana quality ya juu mnoo.

Nawatahadharisha yeyote anayejiita giant ajiandae kisaikolojia anapokutana na hawa wapuuzi.britton and holves,aston villa,west ham na brentford.Newcastle analazimisha ije big 7.

Hoja yangu ni kwamba matokeo ndiyo kitu cha msingi baada ya dakika 90.haijalishi umeyapata kwa njia gani ila ukiyapata shukuru maana ni hardly found.

Kuna swalla la makocha hapa.EPL kuna kocha mmoja tu ambaye ana dunia yake and that is PEP.mjinga anakera. Ana hela,anajua kusajili,ana matajiri wenye hela na mwisho ni tactical genius.atasumbua mno labda ahame. Kwa makocha waliobaki uwezo wao hauna tofauti ya mbingu na ardhi so its normal ukipigwa na bunley.unaweza muona kocha wako ni bora kumbe resources ndo zinamfanya awe bora.

Wakuu furahieni ushindi bila kushughulishwa sana na mazingira ya ushindi maana kuna muda hata huo ushindi hutauona.
 
Mamluki kule si ndio rafiki zako , wanasema wamehama timu lakin Arsenal ikishinda wanalalamika ikifungwa wanalalamika,na mshehereshaji ni wewe
shida yako masingeli wewe hutaki kushindana na watu wenye hoja, mtu akija na maevidence pamoja na mavivid example ya kutosha unaanza kua mkali, unawapenda wale wapiga porojo tu na wale bendera hufata upepo kama kina Flano ambao kazi yao ni kukusapoti tu hata ukikosea.
 
Jana man u imeshinda ila mashabiki wake hawana furaha na hili tatizo nililiona juzi kwenye matokeo ya game ya arsenal na norttingam forest.

Ushauri.
Kwanza mashabiki tuache kwenda uwanjani na matokeo yetu na pia tuache kwenda uwanjani na performance zetu tunazozitarajia.
Tukiweka ushabiki pembeni kwa epl tofauti kati ya timu zinazoitwa big 6 na zinazoitwa midtable timu ni SPENDING na LUXURIES.

Tukija kwa upande wa soka lenyewe on pitch the difference is narrow than you can imagine. Big 6 team wanajua kuspend big money ili kupata quality wakati hizo tunazoziita midtable team zinajua kufanya proper scouting ya kupata talents kwa affordable price.Ukija uwanjani unakutana na mchezaji wa bei ya kawaida wakati ana quality ya juu mnoo.

Nawatahadharisha yeyote anayejiita giant ajiandae kisaikolojia anapokutana na hawa wapuuzi.britton and holves,aston villa,west ham na brentford.Newcastle analazimisha ije big 7.

Hoja yangu ni kwamba matokeo ndiyo kitu cha msingi baada ya dakika 90.haijalishi umeyapata kwa njia gani ila ukiyapata shukuru maana ni hardly found.

Kuna swalla la makocha hapa.EPL kuna kocha mmoja tu ambaye ana dunia yake and that is PEP.mjinga anakera. Ana hela,anajua kusajili,ana matajiri wenye hela na mwisho ni tactical genius.atasumbua mno labda ahame. Kwa makocha waliobaki uwezo wao hauna tofauti ya mbingu na ardhi so its normal ukipigwa na bunley.unaweza muona kocha wako ni bora kumbe resources ndo zinamfanya awe bora.

Wakuu furahieni ushindi bila kushughulishwa sana na mazingira ya ushindi maana kuna muda hata huo ushindi hutauona.
Hapa mkuu nakuunga mkono na miguu yote kabisa.
Jana man utd tumeshinda ila mashabiki hatuna furaha kabisa sio kwa matokeo bali kiwango kibovu mno ambacho wachezaji wetu wamekionyesha, mechi ya jana tulistahili kupigwa hata goli 3 na kuendelea, sasa kwa mpira ule mashabiki wataachaje kulalamika hata kama tumeondoka na points 3?
 
Weka 6 yoyote duniani kwa mfumo wa Jana angechemka, i hope hii ni wake up call kwa ETH no 8.5 wawili inaweza kutucost tukikutana na Timu inayojielewa 7 zinaweza rudi tena. Hawa Wolves ndio wanatabiriwa kushuka daraja ila Cunha alikua anapita tu katikati, kweupe kabisa.
Our FB nao hawapo tayari kwenda mbele zaidi ya uwezo wao (bidii).

Erik anataka fullback wawe inverted ili kuoverload eneo la kiungo.

Ukiangalia luke shaw, wan bissaka, na dalot hawapo comfortable kutimiza majukumu hayo.
Kwa ufupi ni kama hawaelewi roles zao ni zipi

Tofauti na wachezaji wengineo mfano timber, arnold, zinchenko.

Kwenye mechi za kirafiki niliona erik anajaribu kumtumia kobbie mainoo As FB kwenye buildup.

Maybe ameona uwezo wake hususan positional awareness alionayo ni ya kiwango cha juu

Mzizi wa matatizo yetu ni mkubwa sana.
Tunailaumu midfield kwa sababu ndio eneo rahisi kuonekana.

Hata kama tutasajili first phase mfano wa de jong bado tutaendeshwa mbio ikiwa majukumu yatabaki kuwa ni ya kwake tu.
 
Tulikua na midfielders ambao hawawezi kutunza mpira in Bruno na Case, Bado kocha kaenda kuongeza Mount tena ambae hawezi kama wenzie.

Sijui Ten hag anatengeneza nini, ngoja tuone.
Wakikusikia top reds una mdisi 7Hag utafukuzwa humu jukwaani
 
Baba ubaya alivyohojiwa jana na waandishi wa habari juu ya kiwango cha Mount.

Ten Hag kuhusu Mason Mount

"Amecheza vizuri. Alifanya kile tulichotarajia akifanye. Alikuwa na kiwango kizuri sana kwenye mchezo."
We jamaa kwann umemuita baba ubaya lakini?
 
Captain MAGUIRE for life
tapatalk_1682062763169.jpeg
 
Ila wazee last season tulianza vibaya zaidi ya hivi na jinsi mechi zilivyoongezeka tuli-improve zaidi.

Kitu kimoja ninachomkubali EtH kwenye nyeusi hasemi nyeupe. Jana tumecheza vibaya sana ila points 3 ni muhimu na tumezipata.

Usajili wa Amrabat ufanyike mapema sana.
Amrabat hawezi kuwa improve Man United.

Kama tulizidiwa na midfield ya Matheus Nunez na Lemina, tukikutana na mid ya Man city zamu hii tunapigwa kumi.
 
The officials for last night’s game between Manchester United and Wolves on Monday Night Football have been dropped for next weekend.

Referee Simon Hooper, video assistant ref Michael Sailsbury and assistant VAR Richard West have not been selected for a Premier League game in the second round of fixtures.

It comes after PGMOL and the officials were forced to apologise after not awarding Wolves a penalty late in the game at Old Trafford.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom