Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Mkuu kwani tuliwashikia bastola umnunue Mount.

Scout yenu bora na Bodi walijiridhisha bila shaka yoyote mnanunua silaha kali maangamizi.

Iweje leo mseme tumewachanganyia gunzi kwenye betri zenu?

Malalamiko yote haya mnakwepa kutuongezea pesa kidogo. Acheni ubahili
sisi tulijua mnatuuzia Mount kumbe mmetuuzia Mauti umbwa nyie.
 
Tunakuwaga na mechi ngumu sana tunapokutana na wolves lakini kwa jana tulichemka vibaya mno.

Uzuri dirisha linafungwa mwezi ujao nafasi tunayo.

hafu hawa wapumbavu wamludishe Mason haraka waache ma ujinga yao shenzi.

Rashford kumchezesha striker ni kumuonea tu,Sancho Jana nimeona ana kitu msimu huu tumuangalie kwa jicho la tofauti.

Uzuri mashabiki wa man u timu yetu ikizingua uwaga hatufichi tunachana wazi.View attachment 2717896
Gemu ya janaa aloharibu alipoanza na Garnacho badala ya Sancho
 
Varane labda kwa ajili ya goli tu alilofunga ila huyo AWB nje ya tackling mipasi yake mingi alikua anawapasia wachezaji wa Wolves.

Ila wakati mwengine mnamuonea tu AWB anapambana sana angekaa pale uyobdalot wenu jana ingekua story nyengine
Hakuna team yenye fullback ya kulia ambayo hana mapungufu
So appreciate what u have kaka
 
Magwaya bado yupo Sana

Mmeshindwa kumlipa loyality bonus?

West Ham United expect to sign an alternative defender instead of Harry Maguire in the next 24 hours.

[@JBurtTelegraph]
 
Ila wakati mwengine mnamuonea tu AWB anapambana sana angekaa pale uyobdalot wenu jana ingekua story nyengine
Hakuna team yenye fullback ya kulia ambayo hana mapungufu
So appreciate what u have kaka
Mimi AWB hua namkubali sana tu kuliko hata Dalot hua natamani siku moja achezeshwe hata RCB ila tatizo lake jamaa ni pass, hua anafanya kazi kubwa halafu anakuja kuharibu kwenye kutoa pasi.
 
Wakongwe wa manjesta waonya Sajili za kitapeli za kitapeli za 7+3hag

"It’s like Fellaini, it’s like buying Fellaini again..." 🫣

Rio Ferdinand has warned Erik ten Hag against signing Man Utd target Amadou Onana

mirror.co.uk/sport/football…
 
Back
Top Bottom