Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi AWB hua namkubali sana tu kuliko hata Dalot hua natamani siku moja achezeshwe hata RCB ila tatizo lake jamaa ni pass, hua anafanya kazi kubwa halafu anakuja kuharibu kwenye kutoa pasi.

Apo nakuelewa sana nadhan tuna maono Sawa hua natamani sana achezeshwe RCB
Na kwel hua ana wenge mda mwengine
 
Mlipe loyalty bonus yake...akienda West Ham anajua atakuwa anachukua hela ndogo sana kama mshahara....Sasa £15 million yake mpeni then kiroho safi ataondoka...mnakwama wapi😅😅😅
Casemiro kama ndo atacheza kama jana mechi zijazo basi tutaisoma namba..

Hivi Magwaya anataka tumtoe kwa greda au vipi??..mtu ni 4th choice na bado anahitajika na Westham na anazingua..bwege kweli huyu.
 
57077edd-0806-4bd8-b13c-1777f44b47af.jpg

Nyumbu bana
 
Mimi AWB hua namkubali sana tu kuliko hata Dalot hua natamani siku moja achezeshwe hata RCB ila tatizo lake jamaa ni pass, hua anafanya kazi kubwa halafu anakuja kuharibu kwenye kutoa pasi.
Dalot ni mweupe sana..

Hakuna ambalo yeye yupo bora..

AWB tunaweza kusema 1v1 hashikiki..huyo Dalot ni mzuri kwenye nini..krosi nzuri anapiga moja kwa mwezi..

AWB ameimarika sana..anapaswa kuwa chaguo la kwanza upande wa kulia
 
Nawaacha na hii

Harry Maguire will not be joining West Ham. Man Utd would have needed to replace + short on time. Ten Hag sees 30yo as important squad member & happy for him to fight for place. Defender did not agreed terms with #WHUFC & settled at #MUFC @TheAthleticFC Maguire will not be joining West Ham
 
Chelsea have handed Brighton £222m in the last 18 months

hawa ndio viumbe wanaoshikilia rekodi ya kula hela ya tajiri miluzi bila ya kutoka jasho.
mmiliki wa brighton (tony bloom) na mtendaji mkuu (paul barber)

wahuni wanatafuta cheap options zenye potential then wanakupiga chuma miaka mbele.
ndio raha ya kusimamia timu isiyo na demands kubwa
unafanya mambo ya recuitments bila ya presha
1692141748734.png
 
Njooni mbebe takataka yenu kenge nyie.
Laana ya kutuzulumu pesa yetu kwa hili li Freemason lazima iwatafune wajaa laana nyie.
Kwa huo utapeli wenu mliotufanyia mpaka kufika october hizo wodi za Mloganzila hapo darajani lazima zijae kukulela nyie.
Nimecheka kwa sauti kama home theater inayocheua volume ileeee....

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Bila Maguire kuuzwa hatuwezi kusajili beki mwingine either Pavard,Todibo n.k

Tunaenda kuendelea msimu na walewale waliozoeleka akiumia Varane na Martinez kwisha kazi.
 
Back
Top Bottom