NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,802
- 4,391
Ten Hag mafia sana Nakubali jinsi anavyofanya maamuzi magumu bila kutetereka na kuangalia majina.
Ronaldo✅
De gea✅
Maguire✅
PhilJones✅
Glazers wakae chonjo soon watafikiwa na msako wa kipara jasusi kutoka Uholanzi Erik. Ndani ya misimu mitatu United itakua haikamatiki. Nileteeni mwarabu
Ronaldo✅
De gea✅
Maguire✅
PhilJones✅
Glazers wakae chonjo soon watafikiwa na msako wa kipara jasusi kutoka Uholanzi Erik. Ndani ya misimu mitatu United itakua haikamatiki. Nileteeni mwarabu